Jinsi ya kutumia Chroma key kubadilisha Background ya video katika Kine Master App

preview_player
Показать описание
Application ya Kine Master imekua msaada mkubwa sana kwa watu wanaotukia simu za mkononi ku edit video zao ikiwemo video za ku post YouTube na Instagram na Facebook, Hii video inakupa ujuzi ni kwa namna gani unaweza kubadilisha Background ya video yako na ikaleta muonekano wa mwengine na eakuvutia

Big_talent_Tz YouTube subscribe
Facebook as Salum Suleiman
Рекомендации по теме