Kidum Kibido - Wa Motema (Official Video)

preview_player
Показать описание
Wa Motema - Kidum kibido
Wa motema, written by Kidum kibido during the covid time . The inspiration came from his wife Josephine Mugure Wahome.

Uh...
Unapendeza ukitabasamu
Inapendeza, inanijaza

Inafanya mimi nizubae
kila nikikuona kwa ile kona

Umeteka moyo wangu
Na fikira zangu zote
Sasa mimi sijiwezi (Sijiwezi)

Unipa wakati mgumu
Kwa kufanya nisisinzie
kwa kukuwaza kila wakati

Ninaye mpenda ni wewe (Kila wakati)
Ninaye mpenzi ni wewe

Ninaye mpenda ni wewe
Wa motema (Wa motema)
Wa motema

Pale pale tulipokutana siku ile
Siku yetu ya kwanza

Nikikupea maua kwa wingi
I wish kungekua picha ya kumbukumbu

Bado unapendeza (Aah) , bado unavutia (Aah)
Ringa ringa, jua kwamba unapendwa (Unapendwa)

Usibabaishwe na wale wenye wivu
Wachana nao, wewe umewazidi mbali,
Mbali

Ninaye mpenda ni wewe
Ninaye mpenzi ni wewe (Ninaye mu-enzi)

Ninaye mpenda ni wewe (Yeah yeah)
Wa motema (Wa motema)

Bado unapendeza , bado unavutia
Ringa ringa, jua kwamba unapendwa

Usibabaishwe na wale wenye wivu
Wachana nao, wee umewazidi mbali,
Kiboko yao ...

Ni wewe tu napenda
Ni wewe tu naenzi,
Mpenzi wangu

Eh, (kiboko yawe)

Ninaye mpenda ni wewe (Ni wewe tu mimi nnaependa)
Ninaye mpenzi ni wewe

Ninaye mpenda ni wewe
Wa motema (Wa motema)

Wa motema

Ninaye mpenda ni wewe
Ninaye mpenzi ni wewe

Ninaye mpenda ni wewe
Wa motema (Wuodomollo ...)

Wa motema
___________________

The song was recorded and produced by Wuodomollo mixed and mastered by Bob Pro.
The video directed and Edited by Hirwa Sincerite.

Kidum is an award winning music artiste based in Nairobi, Kenya, Africa. Born and raised in Burundi, he relocated to Kenya to pursue his musical dream. He is one of the best live-music and vocalists in the region.

#kidum #livemusic #afropop #liveband #nairobi #kenya #vocalist #eastafricanmusic #afrozouk #lovesongs #soulmusic #kidumkibido #ruby #kenyamusic #rwandamusic #ugandanmusic #twosidegamers #lovesongstatus #burundimusic #lead #tanzaniamusic #wamotema #wedding #afro #afrobeat #kizomba #zouk #acoustic #africa #bodaboda #mapenzi #kibokoyao #rwanda #burundi #uganda #tanzania #mombasa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Zero nudity, zero shisha, clean language...harusi Anthem ndio hio.. 🔥🔥

robinthuku
Автор

Kidum is a legend and his music has always had meaning. Naomba likes za huyu legend

em_vee_josh
Автор

Asante mze kidum kwa kutukumbuka wa fans wako. I keep on enjoying the song 🎵

ndayishimiyeakbar
Автор

Kama mnakubali kama hii ngoma ni yakibabe ngo ya afia ngoma ya uzima .mningongee ma like mengi jameni 😊😊

Donformidable
Автор

Watu waburundi oye nakutambuwa san nakunango kenya 🇰🇪 @kiondo

MY-KIONDOTV
Автор

This song deserves to be sold in all pharmacies cause it cures
Love from GOLD AFRICA TV

goldafricatv
Автор

This is Kidum Kibido King of Africa (🇧🇮) we are proud of you man 😘😘

jasminel
Автор

The King of East Africa Music never disappoints! This is another masterpiece from the Bazuu himself 🔥🔥🔥🔥

bonifacendumia
Автор

The guy who does not disappoint me.. Kidumu is always my best in music industry.

TonyBradley
Автор

The King of Eastern Africa music, always on top, you never disappoint

bizimanaegide
Автор

He's always on point.legend of love ...I approve this hit 🇰🇪 🇰🇪

briankibaki
Автор

Sijui kama uta pendezwa n'a hii comment yangu lakini sauti Yako kwa 100% ina stahili Ku imba nyimbo za sifa za Mungu, please tafakari.

SyntyaCamara
Автор

Muta warengeje kbx igiswahil gusa ntanakarundi😢😢😢😢 kandi urumurundi gus ndakwikundira❤❤

dannyngendakuriyo
Автор

Waoh waoh this guy is sooo best Swahili lov songs all across the horn of Africa 🌍....long live kidumu.... Burundi this guy is ours don't dare urge or we start online fight😅😅😅😅from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with lov.

johntezmg
Автор

Kidum Beautiful sounds.
Listening in all the way from Al Dhannah city.

e.h
Автор

Kidumu never disapoint me. Real artist. This song is on another level. Much love from Rwanda

nirereegide
Автор

Munipe likes, Mimi number one Ku comment

clovismunyakazi
Автор

Kama unamkubari kibuganizo weka like nyingi Sana 🇿🇦 I like this madala

mankwemba
Автор

Wamotema ni song kubwa inavutia na video ni beautiful congratulations Kidum

blaisenduwayezu
Автор

Again Mzee baba yao has hit nos screen with yet another good melody.

clementpapynkubizi
welcome to shbcf.ru