LAZIMA UTOE MACHOZI UKITAZAMA FILAMU HII YA MAPENZI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah move nzuri nimeitazama hii kiukweli imeningusa imeelezea maisha haris ya vijijini mungu akupe hekima na busara ili uweze kuelimisha jamiii nawapenda wote mlio usika kuaandaaa kitu kizuri kama hikiii❤️🤝

jumannezengo
Автор

Stive nakupenda San nimeangali muv zako nying cana mungu aibariki Kaz ya mikono yako

linaphoustine
Автор

African tunashobokea sana vitu vya wenzetu lakn kwao ni opposite hawana habari na vitu vyetu now siwez kufurahia uongo wa waindia nikaacha movie nzuri kama hii.... I love you so much all actors and actresses

Vboy
Автор

Yani ruka Nakupenda kutoka kwenye mishipa yangu yadamu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 nice move 🙏

janethkomba
Автор

Kweli kitu kizuri sana sijawahi icheki ila leo nimekutana nayo nimeicheki yote online akika kweli umeyagusa maisha yangu napenda sana kuangalia muv na kuimba kweli imenigusa sana kwazia mwanzo mpka mwisho umeandika vizuri sana nafatilia kazi zako sana tunaomba utuletee vitu vizir kama hivi pia ukiwa waitaji muimbaji nitafute napenda sana kuimba nyimbo za injili pia za kufariji watu pia napenda sana kuangalia mov mungu akupe ujuzi mzuri kesho na kesho kutwa ufunguwe kampuni yako vijana wapate ajira 🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲

emmanuelimark
Автор

Jaman hii move nmeipenda san na brother ruka nmpenda san alaf nmefulah zaid kuona imeshutiwa MBEYA

MarthaMwakarobo
Автор

Hongela sana kakangu!! I like this movie intelligent From Burundi

alainoniyomukiza
Автор

Huyu Africa Steve ako poa na video zake congratulations Steve au Africa Big up man to action

hamzadongo
Автор

mwanqngu wewe kiboko, any of your movie lazma nione BIG UP BRO from NAIROBI

paulinecherotich
Автор

Nimeagalia ni nzuriiii sana jaman kwanini usigeirefushaaaa?sijui nisemeje ila nimevutiwa duuuuh hongera❤❤❤❤❤❤❤❤❤💘💘💖💕💜🖤💝💓

miriamfuko
Автор

J'aime beaucoup ce film, la conception et les acteurs car ils ont réellement incarnés les personnages. J'apprécie l'expression de Gato voir même l'action de Gamba. Ai delà de tout le pardon doit primer... que Dieu vs bénisse !

davidtchobidongo
Автор

Waooo jamani Mungu abariki kazi ya mikono yako luka ❤❤

JeymaZimbwe
Автор

Nimejisikia kukupenda stive una act very good Na mimi ni muigizaji mwenzako Ila sijasonga mbele ningariki chini naomba unifunze Ku act

nduwimanadiane
Автор

Yan we kaka uko na mkono wa sueta kweli mm nakupenda ivyo ivyo ❣️❣️❣️❣️❣️😘

neemamzande
Автор

Congratulations Gamba from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 unapendwa Sana kama ujaoa nikujie mm😅😅

dianakerubo
Автор

Kwakwel gamba unaigiza vizuri san ❤ nimepend mungu akuimarish zaid na zaid

JajaVumi
Автор

Kazi nzuri Gamba...na funzo kwenye jamii

maryaron
Автор

Uyu kaka anawez San anajua mpk anaker mung akutangulie broo yani ww ni Kanumba nayoyote awez kataa kufanya kaz naww respect broo nawixh day1 nifanye kaz nww

xhullyagachu
Автор

Mbona vitu vitamu alafu mme vificha aise wekk nakupenda bule kila filam unayo icheza nzuli dula luka ha gamba ❤️

halimapwagu
Автор

Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Gamba good job much expected from you guys

ebbypendoh