filmov
tv
S2KIZZY LADHANI:SIPEWI HESHIMA NAYOSTAHILI/NACHUKULIWA POA/NLIOYAFANYA SIO RAHISI/WIMBO KWA MILION 4
Показать описание
Moja ya watayarishaji bora wa Muziki kwa sasa Africa ya Mashariki S2KIZZY alipita kwenye kipindi cha ladha 3600 na kuzungumza masuala mbali mbali ikiwemo jinsi anavyofanya kazi kubwa na watu kiuchukulia poa,jinsi ya kubaki na ubora wake siku zote ,kazi na Will i.a.m wa Black Eyed pease ,na kwa nini sasa anakusudia kufanya wimbo mmoja kwa shillingi milioni 4 kama ada ya utayarishaji ,Enjoy na usiache ku subscrie kwa maudhui zaidi
Комментарии