Derby ya Kariakoo | Uchambuzi matukio muhimu yaliyojiri mechi Yanga Vs Simba

preview_player
Показать описание
Magwiji wa soka nchini Duwa Said na Keneth Mkapa pamoja na mwandishi mkongwe Nasongelya Kilyinga wachaichambua Derby ya Kariakoo ambayo ilimalizika kwa matokeo ya wananchi kushinda 2-1.

Ni kupitia kipindi cha Sports AM cha Azam Sports1HD
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Goli walilofungwa Yanga, limechangiwa na makosa ya ukabaji ya MWAMNYETO.Baka anakwemda kufanya tackling, yeye badala ya kupita mbele ya Freddy, MWAMNYETO unamuona anapunguza speed, anaangalia kwa macho tu " Ni tatizo "

albertvalentino
Автор

Kuna raha kumshuhudia mtu anateseka kwa amani

IsayaKisyeri
Автор

🇹🇿🇹🇿 Simba SC is under 🐕 against young Africans

JastinAlphonce
Автор

Na katukimbia kwenye kombe la Azam cf.

jumamustapha
Автор

Huyu mahamdu ni msimbazi fulu cc wananchi daima mbele nyuma mwikoooo

omarynasibu
Автор

Tatizo lenuhapo studio Sheria 17 zimewapiga chenga hamjui.

JumaSalimin
Автор

Bin ZUBERI dunduka la kutupwa --- " imekuuma sana, bado hamjasema mpaka mseme "

albertvalentino
Автор

Mnaongea vizuri sana ila mmeshindwa kuongelea kwamba alosababisha ile penati Hussein kazi ilibidi apewe kadi😅

husseinmassawa
Автор

Mawazo na ushauri huo muwe mnawapelekea viongozi ilibwawape wachezaji kuona makosa yao

brycesonmathias
Автор

Bin Xuberi na wewe ni kolo, kwa usirudie, kwendaaa

stanslausbereghe
Автор

Wewe mahmudu zuberi mnafiki ww /ww ni mshabiki wa Simba fala ww

IbrahimuFumbwe
Автор

Hivi Maamudu Bin Zuberi Unashindwaje Kuwakumbusha Watu?Kama Vipi Sema Ni Wewe Bwana.

godlistengodlisten
Автор

tuko pamoja nawapata vyema kabisa kutokea bagamoyo mapinga

ezramnyilinga
Автор

Hapo kwenye Watu watatoka mchezoni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Kumbe bado mchezo upo 😂😂😂😂😂😂😂😂

mudrickahmed