Usifungue video hii usiku kama uko mwenyewe! inatisha.! Umeonywa! | matukio ya kutisha ep 11.

preview_player
Показать описание
#realghost #wzm #Matukioyakutisha

WILD ZONE MEDIA
Katika video hii tumewaletea matukio ya kutisha yaliyonaswa na cctv camera, matikio haya kiukweli yanatisha na yalifanikiwa kunaswa na camera za kwenye sim mengine yakinaswa na cctv camera nyakati za usiku.

Enjoy your footage.!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hahaha mnaupiga mwingi the story book natamani siku niwaone live jamal wajna na abdallah mtiga

zawadibilali
Автор

Iyo mbona kama movie so kwel mankula mb zetu tu

SeifJuma-lt
Автор

Mmmm mi naogopa nikitembea nahisi Kama majini yatanitokea 😢😢

gilbertoisso
Автор

Kama watu kama hawa wapo basi siku zao zinaesabika eeni naamanisha Huko mbele ya hukumu watasoma nambaaa kwaio kuleni bata hapaa tu😅😅

AbbasFazal-qo
Автор

Hapana hii Sio sauti yako tafuta sauti yako hii ni sauti ya YIB

capteinchuimchafu
Автор

Aise huyo paka anaetembea kazingua😅😅😅 yan kanifanya niwe makini na paka wangu

lilianmengere