Masauti - Kesho FT Nadia Mukami (Official Lyric Video) For Skiza SMS 'skiza 6988017 to 811

preview_player
Показать описание
Watch the Lyric Video for Kesho by Masauti featuring Nadia Mukami.

Stream on all Digital platforms:

Connect With Masauti

Lyrics
(Nadia :)
Ninachojua Uzee upo
Usichana unakwenda
Ule urembo haupo miaka zikienda
Je utanipenda nikipata michirizi
Utanipenda kikija nacho kitambi
Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala
Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ?
(Masauti:)
Oh My baby usiwe shaka
mi mwenzako Nakupenda
Ule urembo upo ata miaka ikienda
Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi
Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi
Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala
Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara

Chorus:
Nadia:
Keshoo
I hope utanipenda my baby
Mpaka Kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
Masauti:
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda baby
Mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo
Verse 2
Masauti:
Shahidi yetu Mola
Ile Siku mioyo iliposhikana
Ukanipend nami nkakupenda
Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe
Nadia :
Ujana ni moshi
uko sure na mimi
Tukose udosi
je utakuwa na mimi
For better for worse
Iwe better for us
Masauti:
Hata tukiyumba mama
Tuwe pamoja
Nadia:
Mi bado nitakupenda
Kama kipato umekosa
Kesho nitakupenda
hata mgongo ukikunja
Masauti:
Hivi utanipenda kama mziki ukibuma
Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa

Chorus:
Nadia:
Keshoo
I hope utanipenda my baby
Mpaka Kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
Masauti:
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda baby
Mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo

#Masauti #kesho #lyricvideo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama whitney na warren wamekuleta uku pita na like

Kemush
Автор

The tune has a deeper meaning. For those who understand this. Love is beyond the physical looks. Mbaka kesho.

Kemmy
Автор

Whitney and warren wamenifanya nirundi hapa tena nisikize poa 🤭, much love guys ❤...

polliequeen
Автор

From warren and Witney ndo wamenifikisha hapa❤❤❤

Sheetracey
Автор

Nadia the best female we have wapi likes

em_vee_josh
Автор

Hii Kenya we have good musicians aki.. sijui kwanini hutujivunii muziki wetu.. aki mko mjuu wasanii wetu congratulations sana❤❤❤❤ love so much

fathihiyayusuf
Автор

Kazi kubwa...alafu huge appreciation kwa maisha ya baadae ya uzeeni kali sana

dullymelody
Автор

Kama na wew hujachoka kuuskiliza huu wimbo tujuane hapa, huu wimbo unafaa uwe wimbo wa mapenzi wa mwaka 2024, from Tz one love😁🙌

priscusaudifas
Автор

Whitney and Warren brought me here, May God keep them together forever.

KayCee-jh
Автор

I swear nothing beats love.Kumpata mnayependana nyote kiukweli is the real jackpot win.Cheers to love.Such a dope love song❤

marynjoki
Автор

Coming here with michirizi
Kitambi
Na maziwa yamelala😂😂😂😂

valariechesang
Автор

Like za masaut ziko wapi njamani musikue wachoyo wafadhila hit of year east African tumefunika Tanzania

speedmillionakarohosafi
Автор

Warren na whiteny ndio wamefanya nifike hapa from TikTok we should we proud of our own musician

susankimani
Автор

Am from tanzania🇹🇿and this is my favourite song❤

Blurise
Автор

Masauti marketing ilikushinda with all the talent

allanogol
Автор

Masauti unajua kinoma rasta much love toka bongo🇹🇿

malilyz
Автор

Masauti u have a beautiful voice bro and it's a banger with nadia mukami ❤

darshlley
Автор

Combination ya masauti na Nadia haitawai let mbogi down..kimbieni kwa ep msikize kwa album ya kwa ep ako top

adamkithinji
Автор

Warren en Whitney ndo wamenileta huku❤They won the challenge, , , , the song hits different

MaggieNimmoh
Автор

Shirobax mamayao hapa🎉🎉❤mapenzi tele hata mimi nataka wakunipenda nimpende pia hivyo vyote

everlynwanjiru