Oliva Wema~Jeuri Yangu Ft KitimTim Choir (Official Music Video)SMS SKIZA 6389744 To 811

preview_player
Показать описание
#olivawema
#kidomodomo
#gospel
#swahilimusic
#trending
#music

WANAULIZANA JEURI YANGU NI NANI
ILA NINA BABA ANAYENIPIGANIA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera dada kwa injili ya yesu kufikisha kwa nyimbo

juliusbura
Автор

Dada oliva unajua cn kuima unakipaj cn

GadieliJoshua
Автор

Huu wimbo tokea niupate najikuta mwenye jeuri kwa adui zangu ju Yesu amnfanya niwe jeuri kwa adui zangu🎉🎉🎉🎉

JanetkalamaJanetkalama
Автор

Hata Miki nimebarikiwa kweli tuendelee kumusifu mungu AMEN

patrickwambugu
Автор

Hongera xana mtumishi wa mungu kwa wimbo wako mzur xana

HappyIzlael
Автор

Good hit Oliver. Mungu azidi kukubariki 🙏🏿😊

AdonisSifa
Автор

❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏amen amen mungu akubariki sana dadangu

hiii
Автор

Daangok kuloa hoho dasirdoren 👏👏👏👏❤️❤️❤️

TheophilaSanka-mysl
Автор

Napenda huu wimbo jaman barikiwa dada Oliver, much love from Kenya

elizamose
Автор

Wow hallelujah 🙌🙌 tumepona Kwa kupingwa kwako yesu, wow nakupenda bure Sana oliva

marykmusiq
Автор

Wow wimbo unambariki kweli . Mungu aendelee kuwafunga macho wanao tutharao.

Gaterinakamwea
Автор

Kali sana hii more grace dadangu, , , ni Prince Kennedy

Princekennedy
Автор

Kama utaiona sms ii mimi nimuchungaji John wadodoma kibakwe naomba tuwasiliane

johnadrian-gggd
Автор

Asante sana ni wimbo unaonibariki sana Mungu abariki huu wimbo usambae sehemu kubwa

otavinashemi
Автор

Barikiwa sana mama yangu oliva wema
Ila umepoteya sana muda mufe

bikemwayowele
Автор

Wawooo dada God bless nyimbo nzr Ina ujumbe nzito sanaa

marthajohn
Автор

Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Kazi iko vizuri

samwelmwandoboka
Автор

Wow wow wow. Hii ngoma tunaipenda sana hapa Kenya 🇰🇪. Oliva Hii ni fayaaa🎉🎊

fundimunene
Автор

Hongeraaaa sanaa nakufatilia siku nyingi tangu enzi za jamatini Dodoma unaimba vizurii sanaa na unaipenda huduma hii

magrethmbuma
Автор

Uwo wimbo dada unanifulaisha sana ubalikiwe dadamungu akubaliki

mbazur
visit shbcf.ru