Zuchu - Siji Dance Class

preview_player
Показать описание
Get #Siji Now 👇🏼

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MIMI KAMA MTANZANIA NINA FURAHA KUKUONA LEO UKO NA MAFANIKIO MAKUBWA NA ULIPOFIKIA NI MFANO WA KUIGWA..! BIG UP..! AMINI NAMIMI NAPAMBAMA SIKU NITAFIKA ULIPO _#ZUCHU TUNAKUPENDA.!

PipytidaTv
Автор

Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen

channyanjen
Автор

Hii siji nikiconnect baba Levo na mwijaku ina saundi vibaya mno wimbo mzuri na stori nzuri ndani yake bomba sana ❤❤❤

centmia_wykds
Автор

Zuchu hatumiagi nguvu kucheza hadi raha😍👋

rosemahenge
Автор

Queen ni mmoja tu Zuchu WCB 4life unajuwa mpaka unakera hafosi jamani ni kipaji. Acha watu waige huko nje 😂😂😂😂😂 lkn Zuchu atabaki Zuchu tu ❤❤❤❤❤

qamaryasalim
Автор

Zuchu ana moves hatari sana, anacheza kama hataki ila ndo anacheza hvooo...😅😅
Big up sana kwa best female artist in Tanzania...🙌🙌

BongoVibesTV
Автор

#ZUCHU TUNAKUTEGEMEA SANA SIE WADADA WENZAKO HASA TULIOKO KATIKA HII TASNIA YA SANAA ZAIDI JITAHIDI BASI KITIZAMA VIPAJI KAMA SISI HAPA WENHINE NI MADENSA NA VIXENS PIA UTUINUE JAMANI ZUCHU TUSAIDIANE NA TUINUANE WANAWAKE..!

PipytidaTv
Автор

Huyuu zuchu tatakufa kwa jili yako sikuachi daima nitakua nawe mimi timu zuuu je www

LailaMilaji-qcbi
Автор

Didn't know aka kamukazi is such a artist in the EA community, watching from Zambia 🇿🇲

davidlungu
Автор

Real wife of a lion. That's why Diamond loves you.❤❤❤

agbordorothy
Автор

I love you zuu yani uko sawa yani tumii nguvu tena staili zako ujakopi za mtu

VionaChemtai
Автор

Wakwanza kutoka burundi like ziwe nyingi 😂😂😂😊

hunterpictures
Автор

Very good, now it has become the official song of the Sudanese national team

ajarbie
Автор

I so much love Zuchu.
Sending you love from Nigeria

jameshubert
Автор

Wakwanz ni zuchu akuna mweny anawez kumufikiriy kbs kwasabb anajuwag kucheza

RatifaNahimana
Автор

Zuchu on fire. The first crew, the guy chewing the gum should be in your crew member if he is not already🎉

AbdifetahIOmar
Автор

Wakwanza kutoka rwanda like ziwe nyingi

SHEKINAHNEZA
Автор

If Costa Titch was live, , here angemaliza hii verse🔥🔥if u agree pigeni like....

rayshuma
Автор

Navyo kapenda haka katoto zuuchu sijuagi kwanini 😍

Kthenation
Автор

A lot copycat in Tanzania trying to copy Zuchu styles and authentic vibe ..there’s only one ZUCHU

blessmimi