HABARI AZAM TV 18/7/2018

preview_player
Показать описание
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola toa siku tatu kwa wakimbizi kutoka nchi ya Msumbiji waliopo Tanzania warudi makwao akisisitiza Msumbiji kuna amani.

Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako ataka kufungwa kwa taasisi za elimu ya juu ambazo hazkidhi ubora.

Hii ni #AzamNews ... Powered by #AfricanFruti from #BakhresaGroupOfCompanies
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Azam tv mmebadili mdavwa taarifa ya habari?

suleimanzaharan
Автор

Hongera sana kwa hilo, baadhi ya vyuo havina sifa kabisa kazi ni kusumbua wanafunzi tu.

jalimashauli
Автор

Ongera serekali kwa kufanya ustarabu huo kuwatunza wakimbizi na kuwalejesha kwao salama sababu leo wao kesho sisi

bashirumkono