MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024 | Mo Dewji atangaza ujenzi mkubwa Mo Simba Arena

preview_player
Показать описание
MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024: “Tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi” maneno ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC ambaye pia ni Rais wa Heshima, Mo Dewji akielezea mipango ya ujenzi wa mradi mkubwa wa Mo Simba Arena.

Mo Dewji ameonesha muonekano wa michoro ya namna Mo Simba Arena itakavyokuwa

Ni kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 wa Simba SC (AGM), ambao unafanyika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

#MkutanoMkuuWaMwakaSimba2024 #SimbaSC #MkutanoMkuu #AGM
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera Mo Mungu akubariki..zidi kufanya kutoka Moyoni..utafikia ndoto kubwa za simba sport club

janetybubegwa
Автор

Simba oyeeee tukiwa najambo letu ndo utaujua umoja wetu Mo oyeeee wanasimba oyeee

nuruosward
Автор

Mungu apokee Dua zetu na maneno ya mo maan tumechoka kuteseka Simba nguvu moja

SalumuLigulugulu
Автор

Napenda Sana Simba tunaomba wajitambue pia wasiwe na choyo wapeane Moira kama mwingine yupo kwa karibu asing'ang'anie mpira 🎉

gracepeter
Автор

Ahsant san boss wet. Simba nguvu moja🎉

DominicusNgimba
Автор

Sijawahi kusikia speech kubwa kama ya leo kwa mo d

AmbakisyeSimion
Автор

Yanga acheni maneno.gsm hafanani na mo.

AbdallaAli-dnxp
Автор

ACHANA NA SIMBA YETU MMEANZA WIVU WENU. NYIE HAIWAHUSU NDY MNAYEIKWAMISHA SIMBA YETU. MO MO BABA CHAPA KAZI ACHANA NA HAO WANAOIONGELEA SIMBA VIBAYA HAO CY SIMBA

anithawidambe
Автор

Njozi na ndoto ni nyingi sanaa mmelala mkiamka hakuna kitu😂😂Maneno mengi vitendo kidogo 😅😅Mtapigiwa sanaa ngonjera lakini hakuna kitakacho kamilika bila mabadiliko mo anataka mabadiliko na panya rodi hawataki 😂😂

Mhabeshi.Madayi
Автор

neno fitna limenifanya nishangirie nikiwambalii

SalimMohd-gx
Автор

Malekebisho yakatiba nikatika maeneo gani?

MusaMwambene-llcf
Автор

Simba hoye mo hoye sema baba usiogope pasuwa ubaya ubwela

IssaAthuman-jw
Автор

Alicho sema hamkumwelewa, munashangilia tu, kubalini mabadiliko hawezi kuweka fedha bila transformation

chandembikitu
Автор

Ni aibu kwa vilabu vya simba na yanga kutokuwa na viwanja vyao

SaluMaige-mv
Автор

Hiyo ndo maana halisi ya ubaya ubwela wana simba wote mikono juu

StevinMoris-fh
Автор

Kamchukue Fei na Akamiko pale Azam mtakuja kunishukuru

LutenganoCharles-dt
Автор

Wanao Sema tuna danganywa oneni aibu basi kwani hata hamuoni huyu jamaa kuwa kaleta chachu naushindani wa mpira nchini tumpe heshima yake

EddySempay-qfon