AJALI YA BASI ARUSHA, WATU ZAIDI YA SABINI KWENYE BASI WANUSURIKA, MMOJA AHOFIWA KUFARIKI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

haki ni Mungu tuu...
Mungu ampe pumziko la amani Mama alofariki

sarahibrahim
Автор

Nakataa mauti Kwa Jina la YESU KRISTO nakwa DAMU ya YESU KRISTO Amen

MarcoPeter-yn
Автор

Mungu atusaidie tuvuke mwaka mwingine salama sote 7:36 🙏🙏🙏🙏 7:36

kotei-sl
Автор

Yesu tunakushukuru kwa kuepusha hili nakusii umlinde mpenz wangu anaetokea Songea kuja Arusha

ManaseMoleli
Автор

Atukuzwe Mungu Muumba Mbingu na nchi...
Ni Mungu tuu.
Poleni sana familia ya huyo mama, naamini bima ya gari itafanyakazi yake kwa hao watoto wa huyo mama, ndugu wafuatilie.
Dereva hongera na Mungu azidi kukutangulia ktk safari zako zote.

dorahmushi-wets
Автор

Jamani sio ushujaa wala akili ya Dereva.ni Mungu aliemuingia na kumtumia,
Maana hapo hawakosekani waliomuomba Mungu kabla ya safari.Hivyo Ashukuriwe Mungu kwa kuwanusuru .
Zaidi ya yote amrehemu huyo mama aliyefariki na kuwapa faraja familia yake...

superwomanmwenyeheri.
Автор

Tunalaani kila Kafara za Mwisho na Mwanzo wa Mwaka Kwa Damu ya Yesu Kristo

nzugunibaptistcitychurch
Автор

Poleni ndugu na dada zangu Mungu awàfaliji na majerui wapone alaka

emilithamokagizi
Автор

Mungu wa mbingun ampumzishe uyo mama jaman nimeumia sana sababu nimeshuhudia😢😢

MerymaimboMery
Автор

Kwahiyo dereva ana sifiwa leo hii hongera kwake

ilynpayne
Автор

Poleni sanaaa tunamshukur mungu arie wanusuru na huyoo mama arie gongwaa mungu ampunguzie azabu ya kabur

NeemaMaiko-jx
Автор

Poleni sana jamani duh mto nduruma ni hatari Mungu pekee amewasaidia familia ya marehemu poleni sana Mungu awape nguvu😢😢😢

merymahu
Автор

Dereva kasifiwa sana. Nina uhakika watu pekee ambao hawawezi kumsifia huyo dereva ni familia ya huyo marehemu aliyegongwa.. Yote mipango ya Mungu

Joycekombe
Автор

Damu ya Yesu itufunike na kutuepusha na roho za mauti ktk miez hii

DevotaJonh
Автор

Mshukuruni Mungu kwanza aliyewaponya ma kumpa ujasiri dereva. Poleni sana na Mungu ampe pumziko la amani mama aliyepoteza maisha

estherlemburismollel
Автор

Tumpatie ongera dereva kulinganana maelezoya mashujuda pia munguamlazepema dada aliefariki

ZakariaSkanda
Автор

Naona wengi wanamsifia dereva na wanamsahau mama wa watu mwenye watoto na anaetegemewa na familia, Mungu amlaze mahali pema peponi

fatmamrihani
Автор

Innalillah wainna illah raji'uun 😭😭😭😭poleni abiria kwa ajali, mwenyezi mungu awatangulie ktk safari yenu

rukiyamohammed
Автор

Mpka ukiona abilia anasema dereva kajitahidi basi apewe hongera uyo dereva MUNGU ni mkuu hongeren na poleni sana.

YahayaNelem
Автор

Jamani we danieli mtukize Mungu si dereva ni Mungu

AnnaWillium