Berry White - UMENIWEZA

preview_player
Показать описание
OFFICIAL MUSIC AND AUDIO LAUNCHED BY Z-ENTERTAINMENT | BERRY WHITE | ALEXANDER.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mkuu iyo video ipo poa sana director yupo vizur sana nimependa sana kazi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌

feisalmussa
Автор

Dah hapo ungepata colabo na danzak ingekuwa fire🎉

salimliemba
Автор

My brother wewe ninomaa sana kwanza nashukuru kwa goma hili kali

mplfjik
Автор

Kumbe huyu mwamba ni mkali kuliko nilivyokuwa namchukulia zamani 😅 mwanzo nilijua ana bebwa na Black ila huyu mwamba ana madini sana congrats my brother

richtv
Автор

Nyimbo nzuri sana, ongera sana kaka, zidi kurudisha eshima, wanga watatia adabu

mussaagrey
Автор

Mashallah nyimbo nzuri dogo langu Berry White

fatmataufiq
Автор

Dunia haitutaki umri umeenda.... Bora ungefanya ibada tu

khamissalum
Автор

One love berry white nimekuja hapa baada ya kuona interview yako watsup#fanyeni mrudishe kundi la 2berry mtatoboa sana na mtapiga shoo nyingi sana❤❤❤❤

thestonetown
Автор

1:55 listening from Kenya.... great comeback champ, twasubiria zaidi

ibrahimhabib
Автор

Ngoma Khali, watching from Mombasa Kenya 🇰🇪.

tedngowa
Автор

Good music Berry White, Keep up the Good work Legend.

ibrahimmuhina
Автор

Safi sana kaka welcome back ❤❤🔥🔥💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪💯

hassangaddafi
Автор

Nisiwe mnafik berry kachange ngoja kali

catherinelaurian-dgjc
Автор

One of the sweetest song with flavor from Sudan or Ethiopia 😂😂😂

munampinda
Автор

Usinyamazee tenaa brow all the way from msa kenya goma kalii sana

brothersalim
Автор

We can go brother 💪 fight
We can...

ZakariaSuleiman-rmhg
Автор

Nice song... I'm watching from Oman❤

yjhnwfs
Автор

The king is back keep going broo we are proud on you

latifahsound
Автор

HAVE A NICE LONG LIFE IN THIS WORLD 🌎 UPENDO MWINGI SANA MWANETU CHUPA LIMEJAA UNYAMA MWINGI SANA ❤

kaditokenya