April 15, 2024

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Imba nyimbo zenye ujumbe wa Mungu achana na mipasho amekupa mpenzi mpaka utuimbia ya kupewa mpenzi si ungemshukuru Mungu chumbani kwako yanatuhusu nayo. Nakukemea kwa jina la Yesu acha kuimba mipasho.

isackserikali
Автор

Proud father God will never disappoint his servant today ur standing up with ur own feets up 🎉and greatful glory be to God, he is God of another chance from one level to another❤❤❤

FaithMueni-tuhg
Автор

Amina MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU aliye HAI

IsakaYohana-qc
Автор

❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana mungu naomba mungu nikutane na wewe ninaamini nitapiga atua nikiwa chini yako

VickiCharles-hviu
Автор

Mutumichi Bwana Yesu asifiwe.

Mimi naitwa kwa jina la Jules Weva. Ni mu congomani (DRC). Nina shida ya luga ya swahili

julesweva
Автор

❤🎉 asante Sana mungu kwakumukumbuka Pascal wako.❤

BanzeTatin
Автор

Nyimbo zakozi mungu awe naw daimananibariki sana

EdinaRuben-lk
Автор

Binti umefanana naye sana USONI, MDOMONI n.k. uonapo hii post mshukuru mkeo umekupa mtoto wa kwako, wanaume wengine wanalea watoto wasio wao ndan ya bila aidha kwa kujua au kutokujua ila basi tu ndo hivyo😂😂

LEONARD-bk
Автор

Hiyo style ya mziki huo ni ya kishetani kabisa 😂

rachelmuhehe
Автор

Naitwa slighter Andrew, naomba namba yako au frash ya nyimbo zako zote kali nipo Dar sh.ngapi?

SlighterMulenzi