Kondela -Till I die

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kipaji kikubwa daah amaizing song ebwana eeeh mim shabiki ako namba moja apaaa

chineTz
Автор

kama umelikubali ili gomaa npe like za kutosha apo

joshuamgaya
Автор

Rwantale hapa😀😀lile jambo tulitoe mzee upepo ushakubali

barakaernest
Автор

Mwanangu sana since day one...Kazi nzuri brother ntakusapot till I die

BwaxyWaMicha
Автор

Mdogoangu siskilizagi hizingoma lkn salute sana pa1 na producer wako🙌🙌🙌🙌🙌

pyzzocatto
Автор

Ngoma flani tam sanaa huchoki kuisikiliza🔥🔥🔥

Ibrahcataryan
Автор

My brother ngoma kali na siku zote anae jua haongei bali kazi zake ndo zitamwongelea kiukweli hichi ni kipawa m/mungu kakujaalia nakuona mbali siku za mbele

magembetv
Автор

Another version of cheed, to the world bro❤

nictordefavored
Автор

Goma kali sana utulivu wakutosha Sana humu✅✅✅🔥🔥🔥

Conshamusic
Автор

Brother Ndo nime kupata Sasa 👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥

official_kingnabiryOg
Автор

TikTok nime isikiza had nimeifata you Tube big up bro nice voice 🔥🔥

zakiahusen
Автор

Yani sijui kwann vijana ambadiliki huu mziki alikuja nao jay merody atuja kaa sawa akaja nao cheed wa konde gang mda ujaisha kaja nao producers mocco genius sasa na ww unaiga ata beat ndugu aise badilika ila uwandishi upo good

homesaickofficial
Автор

mdogo wako nimekutumia link natokea Kwa G BROWN

MAKASHIBOY