jinsi ya kujifunza kupiga guitar ndani ya mwezi mmoja tu

preview_player
Показать описание
Ndani ya fundisho hili nakufundisha Chord 4 muhimu za kujifundisha kwanza kama unataka kujua kupiga guitar kwa uharaka ambazo ni Em, C, G na D hata kama huna mda chukua dakika 30 au ishirini kwa siku zinatosha na subscribe na bonyeza kengele ili uwe wa kwanza kupokea kila funzo jipya ntakalo kuletea. Much Love.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ubarikiweee mnooo mkakaa kusema kwelii wewe ndoumefanya najua iki kdg nlichopata saivi naimna ntakuwa mpigaji mzuri 🎉

Sintya-oj
Автор

natamani kujua kupiga gitaa lakini sasa changamoto ipo kwenye upande wa gitaa lenyewe kufuatana na hali asante sana bro kwa dalasa zur

gadysimwanza
Автор

Heshima yako.
Duuuh! Mda mlefu nikitamaani kujifunza chombo hicho.
Ahsanteni sana

benardbarnaba
Автор

Asante kwa somo kaka. Nataka kununua gitaa naomba unishauri ni gitaa gani zuri.

gaudigaudi
Автор

Uko vizuri sana Mwalimu, mm ndio nimeingia leo (27/07/2021) darasani. Nitaendelea kukufuatilia.

geofreymwakasenga
Автор

Asante kaka Mwenyezi mungu akubariki na akujalie.

mosekkenya
Автор

Mwalimu mzuri sana....we unaelewa wanafunzi wanataka nini...naomba uwe unatuza pia na nyimbo zinaweza kuingia kwa chords na uo utaratibu tu

denniskitongamutie
Автор

Mungu akubariki sana. I just landed here today ❤️

propheticRazor
Автор

Asante sana kaka.uko vizuri ubarikiwe sana

marygoreth
Автор

Mungu akubarki sana mtumishi naulza gitaa inauzwa sh ngap

edfordshilla
Автор

Nimefurahi sana brother ... kukutana kitu kama hiki.. napenda kujua guitar... nashukuru kwa mwongozo mzuri... usiishie hapo..

westonmpangala
Автор

wow thanks bro nilinunua gita juzi nashukuru nitakufatilia nijue niko england kwa sasa

hassansanaa
Автор

Nashukuru. Sasa Nina Imani nitajua kucheza guitar

shadrackngonga
Автор

nimekubali mafunzo yako mwalim rakin nilikuwa naomba kuuliza geta inauzwaje

ravyannyphone
Автор

Napenda sana bro kujifunza ila isina uwezo wa kununua gitaa

MichaelMwalongo-vd
Автор

Wewe nikikufatilia taliweza kabisa. Unajua kufundisha mkuu🙏

BenjaminHenry
Автор

Yes nina shukuru nimesha jua kushika hizo kodi 4 naomba unifundishe kwa kuzitumia kuimba wimbo tafadhari

AyoubMhanga
Автор

Aisee napenda kujua kupiga vyombo sana

hidayaswai
Автор

Tunamshukuru sana kabisa kumpata mwali tuomba vidole visiwe haraka haraka ndugu

ByaombeIsaiah
Автор

Yesuasifiwe ubarikiwe Sana mtumishi naitwa kyando Niko dodoma naish chinangali nafasi yang j2 mchana sa7naomba nikusumbue gita nalo

edomsilla