Majudas (Official Video)

preview_player
Показать описание
MAJUDAS
Binadamu mapretender
hawapendi ukisonga
wamebadirika wamekuwa mavimpire
wanachimba mashimo in your empire

Hao ni majudas ni majudas eh ni majudas eh
mkiwa nao wanakuchekesha
ukitoka hapo wanakusengenya

Umeteseka maishani bila signal
marafiki wakakuonyesha kisigino
ukapanda cheo ukawa C.E.O
Wamejaribu sana kukuweka sigido
Wanabonga mob kama mp3
Wanataka wabakie na empty sit
Wanakuchunguzachunguza kama C.I.D
Kumbe Mungu amekuweka kama V.I.P

Hao ni majudas ni majudas eh, ni majudas eh
Mkiwa nao wanakuchekesha
Ukitoka hapo wanakusengenya

Akufaye kwa dhiki ndo rafiki
Ujuwe wanadamu huwa hawaridhiki
Kikulacho kinguoni mwako
Ujuwe wanadamu huwa hawaminiki
Akufaye kwa dhiki ndo rafiki
ujuwe wanadamu huwa hawaridhiki
kikulacho ki nguoni mwako
ujuwe wanadamu huwa hawaminiki, eh
hawakupendi ila hawasemi
moyoni we past tense
wakikuona damu inaboil
kinyongo kinawashikaaa

Hao ni majudas ni majudas eh ni majudas eh
Mkiwa nao wanakuchekesha
Ukitoka hapo wanakusengenya

Kama chako ni chako ni chako
Baraka yako haiwezi kuwa ya mwengine
Hata kitambo ichelewe ishafika
Mungu si mwanadumu ila harejeshi
Kama chako ni chako ni chako
Baraka yako haiwezi kuwa yamwengine
Hata kitambo ichelewe ishafika
Mungu simwanadamu ila harejeshi

hawakupendi ila hawasemi
moyoni we past tense
wakikuona damu inaboil
kinyongo kinawashikaaa

Hao ni majudas ni majudas eh ni majudas eh
Mkiwa nao wanakuchekesha
Ukitoka hapo wanakusengenya.

#majudas #music #rap #hiphop #afrobeat #gospel
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nice song keep it up God will see you through

jacquelinenaomi
Автор

True Marcus, ,, l'm proud of you may God lift you higher and higher 🙏🙏🙏🙏

maurinemukabana
Автор

This is nice ..proud of you Mark . May this go far ❤️❤️

sydneywanjiru
Автор

congratulation msafi noma sana nice video.

joelarakenya
Автор

This is great Marcus, God will surely see you through if you purpose it in your heart to glorify His name. We stand with you, to support you in this broh!

joelotieno
Автор

Just read your story in Welcome to Kevin Oduor's Blog. Continue supporting the sick bro.

marywanjiru
Автор

Proud of you Mark, great voice. Keep it up

doristoo
Автор

big up mark...you doing a great job, , success is all yours

nancymuriungi
Автор

Wooow! Big up bro, this is an awesome start.

teamwebafrica