JEMEDARI acharuka kumjibu KITENGE aliyesema 'YANGA ni kubwa, SIMBA je? kizazi cha INSTAGRAM hakijui'

preview_player
Показать описание
#wasafimedia #htmnews #simbasc #hajimanara #yanga #sports #simbasctanzania #millardayo #mpenjatv #ahmedally #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bigup brother na huyo jemedari ajifunze hajui.

maishamtabika
Автор

Jemedari nasimba hadharani!!wengini mbumbumbu hawaelewi vichwamaji😴😴

yusuphjilala
Автор

Kitenge waambie hasa jemedari anajifanya kila kitu anajua yeye.jemedari anawapotosha watu kila siku anasema yanga ni ndogo kitu ambacho si kweli so mwambie na hapo atadakia tu na hatokubali la shilingi hilo

saidlindukwa
Автор

Bongo bwana hiyo historia inasaidia nini mech ya treh 9. Historia ipo ili ivunjwe msiwatie watu moyo kwenye hamna zaidi ya miaka 40 tulinganishe na leo. Tunahitaji makundi nini kifanyike

mesikamesika
Автор

Kuhusu Ujayanti umedanganya. Yaani timu miaka 24 inajitafuta eti kubwa. Inatolea mfano Zamaleki na Al ahly wakati zenyewe kila msimu ziko group stage.

gibsonjosephat
Автор

Eti Yanga ni Kigogo barani Afrika. Hata wenye timu wenyewe eakisikua wanahisi kizunguzungu.

gibsonjosephat
Автор

YANGA ni TEAM kongwe AFRICA ukisema TEAM kubwa je tangia imeanzishwa wamefanya nini ndani ya AFRICA?

anthonydcosta