Z anto - CCM Inapepea(Official Audio)

preview_player
Показать описание
Huu ni wimbo maalum wa chama tawala cha Ccm, umefanyika katika studio za Mazuu rec.
#zanto #ccminapepea
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwakinego kubwaaa
Kama unampenda z anto like hapa

mwakinegomuigizaji
Автор

Dah!! Yote 9 kumi umenikumbusha mbalisana z kwa hii nyimbo nakumbuka enzi zileee dah!!

robertmhando
Автор

Noma sana magufuli tano tena +254 kenya

evanceomondi
Автор

Iyyiii Ni Moto Kaka ... Tuta share Papa!!! ... Watisha!!! @dochmuzik #NextLevel / KAMPALA, DRCongo Tutamuimbia nasi!!!

dochdodava
Автор

Baada ya kusikiliza inteview imebid nije nisikilize kweli umeua

beautyibrahim
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥💥umetisha sana ndugu yangu krb sana *kaya lounge*

deejaybantuofficial
Автор

Dude kali mwana halafu tumesubiria sana tiktak

mchovu
Автор

hii kali nanusu... na mbunge wako awe makonda ndo kabisa mambo ni 100

petromtakati
Автор

Kali xanaaa broo..af napenda nyimbo zko hatari..ila hauko kwa game inavyotakikana

eshamohd
Автор

Nice ww ndo wote nooom san bro tunakupenda san

teacherrobotcomedy
Автор

Nimerudi tena beats kali kweli remind me back them dayz😄😁😁

behindakalenda
Автор

Z anto, , , unasaut tamu mnoo tulivu yakuvutia 😘

aishaomary
Автор

Sauti ya Z_Anto Ni 🔥🔥🔥🔥we like brather

Agnes-qqnp
Автор

Z anto and his beautiful voice.hit like button if you from Kenya and Tanzania

perysnjogu
Автор

Tafta njia m'badara utoboe ila kwa ccm umepotea

edwingwesso
Автор

Please how can we help z.antony to come back on fame..because he was such a great artist in Tanzania..and I love him to maximum..

marvelismail
Автор

Kama kuna mstari umeua kaka, ni hapa, , , ukimtazama mama samia ccm tumeshinda, , ukimtazama kasim majaliwa ccm tumeshinda, , , , dah yaani umejua kunikonga moyo

teophilmbalamwezi
Автор

Ah umefunika wote akina hamonize, zuchu, kiba, hadi mondi

suleimanhaji