Haji Manara:'Kujaza Uwanja Sio Kazi Rahisi',Awapa Mbinu Mashabiki Yanga

preview_player
Показать описание


Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Muroo alisha kuweza wew sema 10 anazingua sana

edgarndoleki
Автор

Hapana ktk mechi ya ahina hii ya awali, yanga walijitahidi.

BontamLee
Автор

Huyo Dismas Ten anatuletea ustaarabu kwenye usemaji wa timu akiongea na media utadhani na kofia yake utadhani mcheza tenis. In short sijawahi kumuelewa hata siku moja. Ni mtu aliyepoa kama togwa. Hafai kuwa msemaji hata wa familia yake. Tasnia ya habari kwa sasa ya yanga naichukia kutokana na mtu aliyepo hapo. Brand ya timu inachangiwa sana na idara ya habari na mawasiliano ya klabu hiyo. We miss u Jerry Muro at present Mheshimiwa DC.

aminimgata