Mkataba Mc - Twende Beach(Lets go to the beach) ( Official Singeli Audio )

preview_player
Показать описание
Produced by Azo wa kitaa
Twende Beach meaning lets go to the beach as the artist states that we should go to the beach

connect with Mkataba Mc on social media
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mkataba katisha Ila kama unamkubalie aliegonga beat asilimia 98 nipe like huyu Alie gonga beat katisha pia

mkomanyokatz
Автор

Mkataba MC fundi wa muziki wa michano Tz nzimaaa 🙆🙆🙆🙆🙆

daltontemboTv
Автор

Aisee hii ngoma nmeitafuta sana leoo kudadek

dizzonofficial
Автор

Ngoma ya taifa umetisha Sana kitaa wote haya twende Beach

aminakhemedy
Автор

Safari ya beach bonge moja la ngoma ambalo limefanya singeli tuipende

theavailablemusic
Автор

Mkataba njia hio mungu kakupatia sasa usilewe madaraka but tumia boya kukuokoa na sio kulichezia linaweza ishiwa upepo muda wowote ukiwa ndani ya maji 🙏🙏 mungu akutangulie katika njia yako ya mafanikio

vannyhb
Автор

Kiwili wili ndani ya gari kiuno ka waachia masela😂😂😂😂🙌🙌

makawan_Bway
Автор

Aibu kwa ambao bado hawajasikiliza hili goma.

sehemunzuri
Автор

Hii ngoma mkataba umetishaa sana yaaani salute sana hii ngoma Zanzibar ita hit sana mana huku mitoko ya beach ndo sana halfu kwenye gari ndo inakua vuguru kinomaa 🙌🙌🙌

bizzoforreal
Автор

Oya mkataba umetisha sana hii ngoma😂😂😂😂

dviwdoc
Автор

Let's wait pasaka na Eid inshallah mambo ya beach yaanze Ngoma lazima tutambe nayooo

wardamarungu
Автор

Kushotoo Kuna habiba kulia zaii kama woteee

eliyasamaltiny
Автор

kaka hii ngoma hii utanikumbuka itavo hit

unitymusic
Автор

Ngoja nichukue Kali nikifikia nitoe kitu ( Kuna Suma jkt )

roytv
Автор

Nimekuja japo nimechelewa leo ndio nipata muda wa kusikiliza huu wimbo hongera nikweli kabisa na ya nayo tokea

faithzamani
Автор

Hii ngoma nikali sana salut kwak br!!!!

francisbernard
Автор

Usikewe sifa mwanangu ukajiona star kaza mzee piga kitu juu ya kitu mpaka masinichi waseme hichi Nn ila ngoma kali sana wanangu tunaenjoy😂😂😂😂

muntazakadori