Kipigo cha Kagera Sugar, Manara awaomba radhi mashabiki wa Simba

preview_player
Показать описание
Siku chache baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/18, mabingwa wa ligi hiyo Simba SC wamewaomba radhi mashabiki wao kwa kutia doa sherehe za kukabidhiwa kombe kwa kufungwa bao 1-0 na Kagera Sugar mbele ya Rais Magufuli.

Msemaji wa timu hiyo Haji Manara amezungumza na Azam TV kuhusu jambo hilo.
Рекомендации по теме