SAKATA LA CHAMA: SIMBA WAGEUKANA/ AHMED ALLY AWACHIMBA MASHABIKI/ TUMEKARIRI/ TUMEMUACHA!/ INAUMIZA

preview_player
Показать описание
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#SIMBASC #CHAMA #AHMEDALLY
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndo mda mzuri kwa sawadogo na wachezaji wapya kujitambulisha.

makukamakuka
Автор

Chama chama chama unaumwa nn uongo chama arudi uwanjani acheni fitina kabisaaa

isdorymalley
Автор

Hakuna wa kumlaumu, kikosi kinachocheza ni kile ambacho hakianzi mara kwa mara. Sijui kama points tatu zitapatikana kirahisi. Wachezaji wakijituma points tatu tutazipata vinginevyo wakilegea tumeumia.

jonathanmnyone
Автор

Tuheshimu maamuzi ya mwalimu tusiwe mashabiki maandazi tubadilike

braystuskibassa
Автор

Propaganda za utopolo zinawachanganya baadhi ya wana Simba. Coach anapanga kikosi kutokana na team pinzani wachezaji wa Simba wote ni moto hivyo wana Simba msiyumbe wala msiyumbishwe

faisaloaljabry
join shbcf.ru