Kajairo - Sauti Sol Money Lover Parody: Madeni Lover

preview_player
Показать описание
A Parody of Sauti Sol's Money Lover Depicting cunning nature of a typical kenyan guy evading to pay rent. The gimicks and tactics used to evade this landlord don't get him very far, but also leave us in stitches as we wonder if such tenants exist!

LYRICS

Do You Have Me Deni
Do You Have My Money

Staki Hizo..
Munamujua..

Kuna Watu Na Madeni Bure Yani
Na Ni Watu Hawa Refundy
Na Kabla Ulimkopa Mambo FIne
Sa Ni Ubishi Na My Money
Nina Pressure Na Si Noni
Ukiona Mtu Ahepe Na Kasi
Nakwanza Kwa Nyumba
Hee
Sina Centi Sina Supper
Hee
Huku Veve Anachangamkia Daily
Haii Nooo

Pre Chorus:-

Heri Niue Nikute Jehova
Ama Apate Nime Roga Roga..
Upate Umechizi Punda
Ma Aibu Ukimfuata ah ah..

Do You Have Me Deni
Do You Have My Money x2

Hee Unanitenda Daily
Ushenz Hio Ni Ushenzi

Bridge:-

Nisha Amua.. Wooo
Sitakulegeza...
Nisha Amua... Wooo
Nitakumaliza..
Nisha Amua.. Wooo
Sitabembeleza...
Nisha Amua.. Woo
Nitakumaliza...

Pre Chorus

Chorus X 2

Outro:-

Anafanya Nipate Butwaa
Haa
Anakana Na Manze I'm So Sure
Ushenzi Si Ni Ushenzi Je
Kua Na Deni nI ushenzi Manze
Vitz Pia Ni Gari Utaibadilisha
Hahaha
Tageuza Meno Iwe Mapengo Na Kitendo..
Hee Ah
Ah Do U Know Nyadundo Alipigwa Ka Nyundo
Nisha erevuka
Nisha erevuka Mama Nisha erevuka
Ka Chizi, Ka Chizi We X 2
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana bro Kajairo.. nakwambia tayari deni ya copyright utakuja dai juu tushaa pirate hii Big tune ...:) jamaa anachange walking style awe kilema juu ya deni... dwl, hahahaha

silvesterkwame
Автор

I see you paddy uko na the still living pioneer of parodies mwenyewe...
Keep the fire burning!!

itachisukimudee
Автор

i miss this combination ya kajairo na padi

rickygichimu
Автор

Anafanya nipate butwaa
Anakaa na manzi, I'm so sure
😂😂

clothe
Автор

Aki Kajaa! You make me proud to be a Kenyan. You pick what people do and do it better than them. Very nice

kelamacha
Автор

kaj will go down in history in kenyan ent fact

alexmayore
Автор

Hahahaha, , , ,
Honestly i have missed Kajairo for a long time

djkislev
Автор

Hahahahaha.. Kajairo yawa.. Yani anapata amengojwa na wanaume wamekasirika mbaya sana

ProphetMohz
Автор

lol...the walking yellow boots, you nailed it!!!!

ingridauko
Автор

Hahahah apo ukajifanya Mlemavu ndio umenimada..!

keramah
Автор

hahaha changn the walking style killd t, dope

mwirigidennis
Автор

hahaha I was pissed off about someone having my money till I saw this.

nigelnin
Автор

Hahahahhaha woiii this killed it. Soo creative.

simplystephchelaa
Автор

Hahaha. Since Hit me with matube to this.

bernardkilaghai
Автор

This is one hilarious video... Jairos welcome back. I love it

mwangi_ngare