Kazi. Kali Sana Chorodo. In DaH. House Moshi Kwetu wachaga wa mjini DanbLaurent
Kazi. Kali Sana Chorodo. In DaH. House Moshi Kwetu wachaga wa mjini
Fantastic! Wonderful! What amazing talent from a young artist. Nice creativity Big up! nestoryshija
Fantastic! Wonderful! What amazing talent from a young artist. Nice creativity Big up!
Safi sana dogo hii imekaa sawa sana songambele kipaji kimetulia sana msafirimkway
Safi sana dogo hii imekaa sawa sana songambele kipaji kimetulia sana
Nimeukubali sana huu wimbo. Kazi safi sana.🎉 maximilianludovick
Nimeukubali sana huu wimbo. Kazi safi sana.🎉
Just imagine mtu mpira anaujua na mziki ndo balaa ase 🔥🔥 SospeterAmos-ucom
Just imagine mtu mpira anaujua na mziki ndo balaa ase 🔥🔥
Goma langu kali la mwezi ni nooma sana big up sna brother🎉🎉 williamhokororo
Goma langu kali la mwezi ni nooma sana big up sna brother🎉🎉
Pamoja sana tibbuh wana wa songambele tunakupa support 🫡 GiftGailanga-ps
Pamoja sana tibbuh wana wa songambele tunakupa support 🫡
Oya kaka Kuna choko anajifanya nyimbo zake kumbe zako unafanananae kuimba mpk sauti MuuMsodoki
Oya kaka Kuna choko anajifanya nyimbo zake kumbe zako unafanananae kuimba mpk sauti
respect bro chkua 🌹🌹💐💐🥀🥀Yako particular boe from lindi IssaMkono
respect bro chkua 🌹🌹💐💐🥀🥀Yako particular boe from lindi
Please anyone, teach me the lyrics of this amazing song😢😢 hs-qznp
Please anyone, teach me the lyrics of this amazing song😢😢
Unajua sana Boe safi safi safi tena kazi nzuri sana 🔥🔥🔥 acleusmhanga
Unajua sana Boe safi safi safi tena kazi nzuri sana 🔥🔥🔥
On fire my brother.... Kazi inaonekana🎵 meriusmigeto
On fire my brother.... Kazi inaonekana🎵