Mseto Wa Kaunti

preview_player
Показать описание
Wanafunzi 26 wa vyuo vikuu vya umma waliokamatwa jana kutokana namaandamano na fujo waliofanya hapo jana kulalamikia kuongezwa kwa karo za shule kuanzi Septemba walifikishwa kortini hivi leo. Taarifa hiyo na mengine katika mseto wa kaunti.
Рекомендации по теме