🔴#Live_WANAOTUBEZA TUTAWAONYESHA JUMAPILI KUWA SISI NDIO SIMBA WA KIMATAIFA_Aishi Manula
Комментарии
👏👏👏👏👏👏👏 mwaka wa baraka kwetu wana simba 🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏
SamsonSamsoni-qs
Hii ndio Tofauti ya wasemaji wa utopolo na semaji la kimataifa mungu ibarik Simba yetu mungu ibariki tanzania
husseiniddy
Ubayaaaa ubwelaaa❤❤, , , ali komwe yeye anaropokaa tuu😂
AndrewAristaricko
Mungu ibariki tim yetu ya simba ikashinda❤❤❤
MarianaKaduma
Mungu ni mwema naomba sana atujaarie tupate ushindi mnono
WilbroadKaatano
Mungu ibariki simba yetu inshaallah tupate ushindii pnt 3 muhimu
aminahhuawei
Simba kweli kubwa Kila team ikija ikirudi kwao wanafukuza coach
GoodluckErneus-gc
Twende kwa waaarabu tuchukue point3 namkunali sana Vasco da gama namkubali.SIMBA nguvuuu moja
Abgaely
Kilarakheri chama langu, Mungu awatangulie
RHOIDAKALUKWA-bwjo
Ufunguo wa kuingilia robo fainali upo Tunisia. Tusiposhinda hii mechi tutakuwa na kazi ngumu sana kwenda robo. Strikers wasiwe wachoyo kupasia mwenzake aliyepo kwenye nafasi nzuri.
jonamnyone
wachezaji wajitume kwani hiyo ndio hatma ya maisha yao, wakipata nafasi ya kufunga wafunge wasilete mzaha kwenye hizi mechi muhimu za caf maana wanajitangaza wao sisi mashabiki tutaumia kidogo na kurudi kwenye kazi zetu laki wao wakipoteza wanapoteza mengi .
ambakisyemwanjemba
nakukubali semaji, semaji maridhawa hapa nchini na afrika
allymwashambwa
Mungu awatunze, , , mpate ushind mnono
EsterSamwel-oh
Mungu awatangulie simba warud na ushindi
ChamaTz
Tunawatakia safar njema. Wapambanaji wetu Sisi letu maombi tu kuiombea timu yetu Simba nguvu moja
TomasiklistophaMwinuka
Safi sana Ahmed mashine ya kuongea simba nguvu moja
FaabinOmar-de
Mungu awabariki wachezaji wote wa simba awepe nguvu na afya siku hiyo ya tarehe 5 mtupe raha
georgegregory
Uto wanaumia semaji likiogea ponti wangekua na kisemaji shao kingesema tuta wafung 5
AllyKimeme
Big up semaji, sio wale wanaoongeaga kishoga shoga.
SetMohamed-iy
Huyo mwandishi mchawa anayehoji mpanzu hajaonyesha kwenye ligi Ni bogasi Sana ndiyo Yale yanayoharibu ligi yetu. Mshenzi Sana huyo Hana adabu.