MAAJABU YA KABILA LA WAKURYA.

preview_player
Показать описание
##"fahamu ndoya ya asili ya kabila la wakurya , ambalo linapatikana katika mkoani Mara katika nhi ya tanzania##

##wakurya ni moja ya kabila ambalo kwa asilimia kubwa bado wanaenzi mila na desturi zao ambazo huridhishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa lengo la kuhifadhi na kuzienzi tamaduni zao.

##""Ndoa ya asili katika kabila hili , huwa na mtiririko mwingi wa matukio hata hivyo serengeti tv tumekufikishia burudani hii ikiwa lengo ni kuhamasisha watanzania wote kutunza na kuhifadhi tamaduni za makabila yao na tamaduni za nchi yetu ya Tanzania.

##endelea kufuatilia kipindi hiki cha Tanzania na asili yetu ili kuendelea kujifunza na kuburundika.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kabisa ila kwa wakurya wa Kenya mambo ni tofauti sana

mwitas
Автор

Niceeee 🙏 kijana
Hakika serangeti tv kusudio lenu tunaliona

Kipindi hiki Cha Tanzania na asili yetu kimetufunza mengi 🌅🌅🌅🌅🌅🌅🌅🌅 🌅

princeemanuel
Автор

Mmefeli sana tena sana hapo nawapa max - 0 hakuna mlichofanya hapo ni zero. Wp na wp ngoma ya kigogo sjui na ngoma ya kikurya.

mnankajackson
Автор

Ngoma inayosikika sio wanayoicheza hapo. Kwa nini?

mohonialphaxad
Автор

Matangazo yamekua meengi kuliko kipindi chenyewe

julius.m.issame
Автор

Sifa na tabia za wanawake wa Kikurya ni zipi

OmbogaMusa-bpop
Автор

Mtangazaji maelezo yako ya utangulizi hayaendani na uhalisia. Taratibu na namna ndoa inavyofungwa kwa wakurya sivyo. Wewe umeonesha sherehe sio namna.

josephmkami
Автор

Mnapaswa muelezee watu kwa kuwaelimisha ili wafahamu kinachoendelea pia msipige mangoma ambayo hayausiani na Mila zetu msituudhi mula

petermunanka