Clouds E: Msanii 'Benson' Amzika Mwanae/Asimulia Kilicho Sababisha Kifo Chake

preview_player
Показать описание
Msanii wa muziki wa Bongo fleva "Benson" asimulia kilicho sababisha kifo cha Mwanae...tazama hapa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

wewe kijana mnyenyekevu Sana na unajua ulivyosota na mkeo, Munguatakujaalia mwingine

chandrnyoeliakim
Автор

Pole xn kaka kwa kipindi hiki kigumu mungu akufanyie wepesi

kingfightertz
Автор

Pole baba...mungu akaipe faraja familia yako

berthamtenga
Автор

Pole kaka, ila unajua nin mm mtoto akifariki huwa nashukuru Mungu zaid coz anaenda pepoponi moja kwa moja bila ya hesabu na hana dhambi yeyote istoshe huwa anawaombea wazaz wake pia

mohammedrashid
Автор

Pole Benson kwa kupotelewa na mwanao...

angelazizi
Автор

Pol san bro, , Mwenyez Mungu akfanyie wepes kipnd hk kigun inshallah 🙏

isayadoglass
Автор

Pole sana Best mungu akussidie ktk hiki kipindi kigumu

ngussakassimdksuleimanalla
Автор

Pole mumgu akutie nguvu ma favourate artist

fatumaabbakari
Автор

Innaillah wainna lilah rajiu'n
pole sana

khadeejaabdullah
Автор

pole ben pole sana jmn inauma htr uuuwi simpatii picha chichi 😢😢😢😢

azizacleny
Автор

Pole sana ndugu yangu mungu anajua sababu kaka

beatricekamengekamenge
Автор

Jmn mung awetie ngv kwakipnd hiki kigum

glorytarimo
Автор

Jamani sasa siku izi mtoto akizaliwa bahati mbaya pia mnarusha kwenye media duu

simonitaagesti
Автор

Cpend hili neno aiseee, mwanamke au mwanaume wangu

zawardrugemalira