HII NI ZAIDI YA BIFU!! Diamond Alichomfanyia Alikiba, Msikie Ommy Dimpoz Utashangaa!!!!

preview_player
Показать описание
Mitandaoni bhana kuna mambo! Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga mwerevu atalifumbua, kuanzia jana kwenye mitandao ya kijamii, kuna mafumbo yanayoendelea ambayo baadhi ya mashabiki wameshayafumbua.
Kwa mujibu wa mashabiki wa muziki wanadai kwamba chanzo kilianzia kwenye wimbo wa rapa Fid Q, unaoitwa Fresh, ambapo ndani ya wimbo huo kuna mistari aliyoimba Diamond ya kumkashifu Kiba.
“Kunifananisha na Cinderela kwangu haiwezi kuwa fresh, Simba toka mbuga ya Tandale, naona Swala wanafosi tuwe saresare, si walitaka viti, nimewapa hadi kitanda wakalale” Hiyo ndiyo mistari inayomlenga Kiba.
Baada ya kuisikia ngoma hiyo, Kiba akapita kwenye akaunti yake ya Twitter na kujibu mapigo kwa staili ya mafumbo
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaufyata mkia wake. Verse imemshinda. Umemtosha . Vizuri sana ommy. Huyu mshamba wa tandale hana adabu sana. Mbona kakaa kimnya si apanue domo lake tena. Alifikiri atanyamaziwa. Muoga tu anajaribu kuua story yake na mobetto. Kajitia kitanzi mwaka huu

umydaddy
Автор

Diamond talk to much and ommy is SAVAGE 😅😂😂🤣😃

gsbstudio
Автор

akuanzae mmalize, safi umempa makavu yeye na mashabiki Liamshe

Aidansimwanza
Автор

Aiseh kaka ommydmpoz we ni Hatar nmekukubar miaka mia wamezid kutuchokoza keep it up brother

gtopmodelofficial
Автор

ujue kutukana mama inauma sana aiseeee ommy kama wamtukana mtukane muhusika apo umezingua sana na umeshusha sana adhi ya mama aisee

jacksoncharlesy
Автор

Pwahahaha unalea watoto watano ambao sio wako
😂😂😂😂 kama una story zako mbaya usichokozane ommy umenimaliza

mariammwaniki
Автор

mbona watu munaluangalia jambo hili kwa upande mmoja ina maana anachokifanya diamond ni xawa mmh kweli ushabiki noma

simonmtuka
Автор

Me nampongeza OMMY kW alichokifanya, maana akuanzae

goodlife
Автор

diamond nitakupiga mimba mwenyewe tulia kwanza

idrisfarid
Автор

Mbaya zaidi wote watatu nawakubali sana

christinahaule
Автор

omy nimependa sana ulicho kifanya linajishaua sana ilojitu domo kama kundu linakataa mtoto wake linalea wamwezake alina akili zombi namuhenga wake wanao jifanya wanajua sana mapezi kumbe mataila wasio jielewa

rahmachuji
Автор

Mondi wapenda ugomvi but cha msingi wewe na kiba mpigane tuone mshinda but niko kwa side ya king kiba na dimpoz

Bonnere
Автор

mnamambo wanabongo. mwatoleana mapovu kila siku badala mje pamoja mjadili jinsi mtakavyoinua mziki wa Afrika. twawaonea huruma jameni lakini mfahamu kuna upcoming artist ambao tutaja kuchukua nafasi yenu nyi nanyi mwendelelee kutafuta kiki

nqtabeibzkenya
Автор

Hata wasanii wote waingile kati swala hili si wasikilizi namsubiria HAMORAPPA TU HAPA NENO LAKE😂😂😂😂😂😂

mimifulani
Автор

Parents sh'd no b involved in yo t y mama

jensennashon
Автор

om ni mjinga sana sana sana huez kumpost mama wa mwenzio tena ni taira sana om anaingilia ugomvi si aache wamalzane wenyewe mwanaume kama dem

carolinemgooh
Автор

huyu mond anamatatizo yake binafsi, mbona mwenzie hamjadili au mziki Wao imekuwa taarabu

twalkaiddi
Автор

wacha aoshwe huyo mondi.ameyanza mwenyewe.

jahifamau
Автор

Ali kiba, ommy awa wali sio wasani wa kuafananisha na diamond

vodacommocambique
Автор

huyo ommy anatombwa anahusisha mama kwenye mambo yao nikuma kabisa huyo

jaylove