MABADILIKO VIWANGO VIPYA VYA MABATI 'EPUKENI HASARA, M-SOUTH GEJI 30 SASA INAFAA'

preview_player
Показать описание
Afisa wa Shirika la Viwango nchini TBS amezungumzia mabadiliko yaliyofanyika kwenye viwango vya mabati ambayo yanaruhusiwa kutumika.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mnabei sana bati moja 39000 kweli jaman

zainabramadhan
Автор

Uhuni tu, Bati zuri na imara ni geji 28.

uledimtumwa
Автор

Mnabatikana Tabata sehemu gani location

mwatikasangara
Автор

Fake ni nyingi sana kwa sasa sokoni, mtu anapaua likipigwa na jua tu kidogo linapauka hatari, hilo nalo hawajaliona hao TBS??

gibsoncharles
Автор

Tbs twaomba mtuambi nondo inatakiwa iwe futi 40 kwann tunanunua futi 38 hiz futi mbili zinakwenda wap kama sio uwiz n nn hamna kazi mnafanya zaid ya upigaji

bathomayomichael
Автор

Mbona watu wasema bei tu..., !!!
Kwan TBS wanapanga bei au...????

novicemic
Автор

Nauliza mabati yenu bei gani kwa sasa na niya gage ngapi?

charleskinyala
Автор

Habar nahıtajı batı pc 3 nıpo mwenge. Nıhıtajı futı 15

manjaugodwin
welcome to shbcf.ru