Usile Chungwa lolote kabla ya Kutazama Video hii

preview_player
Показать описание
Kupitia video hii unakwenda kujifunza jinsi unavyotakiwa kula machungwa na faida ya kula machungwa vizuri. Machungwa yameonesha uwezo mkubwa sana wa kutibia maradhi yaliyomengi sana kirahisi. Hivyo mtumiaji unapaswa kuzingatia kwa ufasaha jinsi nilivyoelekeza kwenye video hii
..........................................................
Contact Us : +255676298270
-------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------------
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani kama nilivyotoa maekezo kwenye video hii kutafuna hivyo vitu ni Lazima kama unataka kupata faida zake zote. Mbona kuna dawa ambazo ni chungu zaidi ya hizi mbegu na huwa tunazitumia? Kufuata maelekezo kwa ufasaha na usahihi ndio tiba yenyewe

Toptenherbs
Автор

Asante sana Kwa hili Somo uko sawa kabisaa

rukiakamiss
Автор

Mi Mwanangu Anakula huwa linabaki Ganda tu, Na nilikuwa sipend ulaji wake, Kumbe ndo Yupo sahihi, Asante Doctor

yeremiahmwakasege
Автор

Mbegu zake chungu corokwini haioni ndani duh!!😄 asante doctor ingawa si rahisi sana.

lucyshukuru
Автор

Thanks alot for your explanation that most of us we don't know

everlineocharo
Автор

Mbona hizo mbegu ni chungu Sana mtaalam Ila kwenye hayo maganda Ganda ya ndani sw Ila

emmanuelnzaligo
Автор

Kweli mi nimefuatilia Video zako nyingi zote reality

mussamlonga
Автор

Ivi chungwa na chenza ni kitu kimoja ? Na chenza unapasawa kula namna hiii?

malugumabula
Автор

Hujasema hizo mbegu zinatibu ugonjwa gani.

charleskuyeko
Автор

Kwa kublending sawa.
Maana yake nahayo yanyuma tutafune au unamaanisha hivyo vya ndani tu?

anattoottawa
Автор

Samahani Doctor hizi mbugu huwa zinakauchungu flani hivi vipi kama nikimeza mbegu bila kuzitafuna haziwezi kusaidia???

apostlesamwelisautiyasimba
Автор

je kama nimeamua kuli brend chungwa lote pamja na mbegu ili ninywe kama juice kuna ubaya

johnmwangove
Автор

Mimi hizo mbegu nitazitoa ili nisiharibu radha ya mchuzi, then, mbegu nitazitwanga, nizinywe na maji

shebbytrante
Автор

Mmmh sasa hizo mbegu si shubiri tosha.maana uchungu wake sio mchezo.yaani hapo utakuwa ngumu na inatakamoyo.

fruitfulmpanduji
Автор

nininakihitaji icho kitabu ila naishi burundi sijuwi apo ntakipata aje ?

jeanpaulbahavu