BOSS TRA ATINGA KWA MULOKOZI, ALIPA BILIONI 5 TRA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

This the real champion 🏆 salute kaka low profile kazi kubwa 🎉🎉

JamaahomeInteriors
Автор

JUHUDI ZINALIPA

NAJIFUNZA KWA VITENDO ❤

amanleonard
Автор

Watu pesa wanauo harafu hawana kelele . Big up!

mtalimaaloyce
Автор

Siku izi tumeanza kuwawekea umakini wawekezaji wa ndani, maana serikali ilikuwa inaujinga sana kuwakandamiza wawekezaji, hongera sasa tumeamka

hallin
Автор

Huyu mshuwa nikimtizama haraka haraka anakoelekeya ni kuwa tajiri bora africa na siyo tz tu.

lunangabenjamin
Автор

Nchi hii walipa kodi wakubwa ni walevi na wavuta sigara, hicho sio kitu cha kujivunia hata kidogo, ni taifa lenye vijana wa hovyo linalotengenezwa. Serikali itengeze mazingira zaidi kwa wafanya biashara wa bizaa zengine kupata nafasi ya kuimarisha biashara zao, kukua na kulipa kodi zaidi, na tusitegemee ulevi na sigara.

nassirali
Автор

Analipa au tunamlipia matajiri hua wanadhamini tu kodi ila sisi maskini ndo tunalipa kodi sio mazwazwa sisi tunajua sana

AllySibila
Автор

Huyu sio kama diamondplatinum kodiiii mpaka alalamike kwenye media wasafi eti wanamfilisiii

FredrickMatiku-xfuk
Автор

Ukiangalia kwa makini huo mzigo wote wa kodi unaangukia kwa mlaji wa mwisho na sio kampuni

adrianomaulaga
Автор

Aongeze alcohol kwenye strong walau 85%+

Echo_Foxtrot-zwus
Автор

Biashara haramu ya pombe hana wasiwasi na akhera yake hata kidogo. Anachojali ni kupiga pesa. Subhaanallah

abdallahdataguy
Автор

Big up hana maneno ila vitendo, sio muuza sura kama wengine

mathiaschoma
Автор

Kodi bilioni 5 alafu zawadi ya kamfuko🤫

ericknyamweru
Автор

5bil kwa miezi sita sizani kama inawezekana

lusupi
Автор

Vibarua au kwa kikoloni( LABOUR) wanalipwaje?.Mnawazingatia nao?nyie TRA?.Kwa uzoefu wangu na hii ni bongo nyoso, najua ni kichefuchefu tu.Na haya ni mambo ya media tu.😂😂😂

EliudiKwiyukwa
Автор

Wewe mihela mingi unapata unajifanya eti mzalendo wezio mtaji mioni mbili kodi milioni moja unafanya mchezo

shabanikitogo
Автор

Me naombaa kazi tu boss wa campony ya MATI🙏

Chiruka-qjeb
Автор

5bil kwa miezi 6!! Hata bakhresa halipi hiyo kodi... amejaza vibarua kwenye makampuni yake.. hongera mzalendo mulokozi..

josephlorri
Автор

Apo TRA ni kama wameolewa na molokozi, ,mfyuuu wanavopenda kukamua pesa za watu

vibetz
Автор

Piga kelelee kwa waleviiii wakeeee tumelipa kodi walevi

FredrickMatiku-xfuk