Harmonize Live Performance 30.8.2020 Benjamin Mkapa Stadium

preview_player
Показать описание
Harmonize - AfroEast

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #Yangaday #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siku zote dua zinatoka kwa family Mashallah keep your dad and your mom don’t forget them mungu atakubariki inshallah 🙏🙏🔥🔥

Bantushine_film
Автор

mashabiki wenzangu wa yanga na konde boy wekeni likes hapa za kutosha

mbilu
Автор

Kama hujakubali mpaka sasa aiseee jamaaa ni harmonize very creative singer 👩‍🎤

anicyaedward
Автор

Walio muona jeshi akishuka na kamba weka like zifike 2000

RAUNATION
Автор

This is why I love Tanzania more than my country Kenya... Tuko wangapi 😂😂😂 tujuane kwa likes

kandieofficial
Автор

Huwa sinaga wivu na mtu kwenye kile chake alichokibuni vizuri na kikafanikiwa vizuri .. hongera san hormonize ... Never giveup my brother

assamwakasanga
Автор

Jeshii akianguka anaamka tena... Love... 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

ELISSKGTV
Автор

JESHI KAMA JESHI WATU WA QATAR WANAKUKUBALI SANA, ONE LOVE TEMBO

KATIBUSTAR
Автор

Jeshi, biiig love ouuta Kenya, wapi likes za harmonize na yanga.

jaymodollars
Автор

Cku hii ilifana sana kwa kwel harmonize ww ni jembe lenye mpin wake mwenye wivu ajinyongee kamac wallah!

ashurakasola
Автор

Jeshii kondey boy super star 🌟 tembo ndovu This Man can do anything to make his fan proud 🥰🥰😆

jacobkadima
Автор

Ubunifu wa hali ya juu, watoto wa Jangwani tuliienjoy performance yako.

footmobonline
Автор

Mlioko stadium mkae kw kutulia tuskize nyimbo 😅😅😜😜.... luv Frm 🇰🇪🇰🇪

misskuchi
Автор

🇰🇪🇰🇪 Konde Gang for everybody.kondeboy worldwide ❤️♥️❤️♥️❤️

Liz-
Автор

Nani anampenda hamonaizi kama mm gonga raiki apa twende sawa

khdyjhhamissindiyomshindiw
Автор

Love you kutoka Zambia konde gang members Africa mzima

austinesautisolnamipendasa
Автор

I'm from Guinea 🇬🇳 👊 really proud of you bravo to you 2/9/2020 since. Germany i love you

amadouadida
Автор

Sipo yanga ila jeshi namkubali, ,, ni level nyingine 💪💪♡♡

alfredjohn
Автор

#haina kufeli# much love harmonize nkiangalia crip ya kamba hadi naogopa.🤔🤔🤔🤔🤔🤭🤭🤭

venancentabala
Автор

mm sio yanga ila kwaukwel konde umedhihisha ww nitembo bila kusahau mashabiki wa yanga amjamuangusha konde mmempa sapot yakutosha na love yakweli nmependa sana

barutimusssa