UTANI NA MBWEMBWE ZA MANARA 'TUNAZINDUA JEZI HAINA MAKOROKORO'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu haji amebarikiwa karama ya uongeji pia pindi anapongea watu wote hua makini kumskilza hakika mungu akuepushe na baya haji sande manara

bhtmtk
Автор

Manara Fanya kazi, kila mtu anaangalia maslahi ya kazi yake

nassoromangi
Автор

Nenda Kaka kafanye kazi, maisha yako ni jukumu lako mwenyewe, mtu asikutishe kwa maneno yyte! Ushabiki ni itikadi tu, Haina maana yoyote Kama haikuingizii kipato so achana na itikadi kaa mahali panapokunufaisha. Kazi iendelee le bughat...

adamphinias
Автор

Usawa huu tunaangalia Maslai, hongera sana Brother 🙏

saumusalimuhassan
Автор

Siasa ni maisha na mpila ni ajila uogeaji ni kipaji acha afaid kipaji

maelezomaelezo
Автор

leo ndio nimemuelewa Yule dada kweli Msomi anaona mbali hili lilikuwa Jipu lililo pandikizwa Hongera Babra hongera sana M/mungu hamfichi mnafiki leo anajitekenya mwenyewe pole sana Manara

qassimhussein
Автор

Subira ya vuta kheri.Haji aliitaji subra.Simba itakuwa kali sana kwa Yanga sasa hivi Watataka wamkomeshe Haji.Nawaambia Yanga watapigwa na Simba mfululizo na Haji hawezi dumu Yanga maana mashabiki wa Yanga watahisi ndie anaewahujumu.Haji anejipa mtihani mkubwa sana.

iuem
Автор

😂😂😂😂 haji hapo alitaka Kusema hatuendi kuzindua campun ya Eneji moor

agnesdidas
Автор

Lakini Ukweli Jezi Ya Simba Ndie Ilikua Kwako Sawa

awadhrajabu
Автор

hahahahahahahaa daah najisikia raha san

elishakyamba
Автор

Ebnaa karibu sna yanga umefanya la maana kuja Kwa wazalendo kule ulikua unanyanyaswa tu na wahindi karibu mkerwketwa wa yanga

اباليليالفهري
Автор

Usajiri tulioufanya wananch umeenda saf san haji unaniparaha san

elishakyamba
Автор

Hujakosea lolote mm mwana simba ila maamuz uliyochukua yakiume mzeee baba dah

justingeorge
Автор

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUFANYA JAMBO HUKU UKIWA NA FURAHA AMA HASIRA ILIOPITILIZA.. SO NAMUONA MANARA AKIFANYA KAZI AMBAYO HAJAWAHI KUIOTA KISA YA HASIRA YA MAMBO ALIOFANYIWA HUKO ALIKOKUWA

charleskobelo
Автор

Nakumbuka yanga waliwahi kutamka kwamba haji ni kichaa, kwahiyo leo inamaana yanga wamempokea kichaa wao🤣🤣🤣

wazirmlogi
Автор

Naanza kuamini huyu ndiye atamshawishi mipuison, nahisi kweli kaenda yanga, make hajulikani alipouzwa huyu ujue

elizabethmajaliwa
Автор

Wanavyohangaika utafkiri wamepata kombe

lukumanomary
Автор

Manara alituambia ameoa shabiki wa Yanga kumbe kaolewa yeye

elisantenyange
Автор

Nakumbuka kauli ya manara baada ya ligi kumalizika aliuliza utopolo Mechi yao yamwisho walionyesha Chanel gan? Akajibiwa sinema zetu

johnmussa
Автор

Yuda kama Yuda msaliti wa kumbukumbu ya historia yaani kweli subra imekushinda imebidi uende kwa Adui yako nmhu haya sawa, inamaana yale maneno uloyatowa kusema hata kama haupo kwenye uongozi lakini simba utabaki kuwa mshabiki thabiti daima kumbe yalikuwa ya kinafki, , mmhu haya sawa nikutakie kila la kheri huko ulipo kwenda najua ipo siku nafsi itakukumbusha ulipotoka na utakuwa ushachelewa

waheedahtanzania