filmov
tv
Maisha Bongo Michosho - Young Mo Ft. Soprano

Показать описание
Wimbo huu biti lake nimetengeneza mimi! Kisha nikamkabidhi mdogo wangu Muddy Zahoro wa Kiwalani Iringa Bar anifanyie kufuru. Wakati mwingine mizuka inapanda kutengeneza biti, ila ndio vile tena muda unabana sana.
Huyu mtoto Zahoro sio mtu mzuri kabisa. Balaa alilofanya humu sio mchezo. Studio ni Kiwazone Records chini ya Kaboka Mchizi au Kabo P.
Kiwalani Stand-UP.
Huyu mtoto Zahoro sio mtu mzuri kabisa. Balaa alilofanya humu sio mchezo. Studio ni Kiwazone Records chini ya Kaboka Mchizi au Kabo P.
Kiwalani Stand-UP.