Live : #WasafiFestival #MWANZA ndani ya Viwanja vya CCM Kirumba (Juma Nature On Stage)

preview_player
Показать описание
Live : #WasafiFestival #MWANZA ndani ya Viwanja vya CCM Kirumba.JUMA Nature on Stage
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kama na weweeeUnajikutagaaa Unakeshaaa youtube Kama mim kwa ajilya Wasafifestive Gongaalike hapaTujuaneeee

fatmamasoud
Автор

siku hizi hatuoni live zenu huku kwetu Burundi so tangu siku ya simbawanga until today try to fix mitambo yenu please

amissotv
Автор

Zaidi ya wasanii 30 wa Bongo Recods mpk leo wamebaki wa3 tu Nature Prossor na Jay Mor. Huwa najiuliza wengine walikuwa siyo wasanii au?

kihanda
Автор

hapa j nature unapenda xana sio wengine mikono juu mala vitambaa hawajiamini na stej zao

selemansaid
Автор

Kiloboto ila wasafi mbalikiwe saña hawa wazee wetu walifukiwa katika shimo

taliano
Автор

Kichwa cha muda wote usitoe nyimbo kwan hizo hizo nikama mpya hazichuji

mudykhalid
Автор

Hakuna msanii bongo naduniani kote ninaye mkubali Kama nature

denicmlay
Автор

Kichwa cha muda wote usitoe nyimbo kwan hizo hizo nikama mpya hazichuji

mudykhalid
visit shbcf.ru