BUMBULI AIBUKIA SIMBA/ KAULI YAKE YASHANGAZA!/ TRY AGAIN AWATULIZA MASHABIKI, WANACHAMA/ 'HAONDOKI'

preview_player
Показать описание
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#BUMBULI #SIMBASC #MGUNDA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amin tutafanikisha ubigwa apo msimbazi 🙏🙏🙏 step forward 🤝 Beloved

elidiustudoy
Автор

Mr Bumbuli kweli wewe ni mwanahabari na wa michezo uliye mahirika sana tu.
Ulipokua Afisa Habari wa Young African, pamoja kua mm ni Mnyama nilikuelewa vizuri tu.
Wengine wakuige basi!.

edwardmizambwa
Автор

Kwamara yakwanza hii media nimeikubali sana sana mfanyakazi uko vizuri unafaa kwenda tbc

mgongolwajoseph
Автор

Kaka bumbuli unahakili Sana ubarikiwe Sana unajuwa kuwajenga viongozi kisekolojia

gideonmwaweza
Автор

Nakupa pongezi zangu za kutosha Mr. Bumbuli kwa kusimamia uandishi bora na si kama walivo wengine wa waandishi wa habari wa hovyo.

mtekelechapemba
Автор

Huyo ndio mwanamichezo bumbling Malibu dumbs inaelekea unafanyaje ya simba

rafaelherbetrafael
Автор

Muda mwingine unaakili timamu ila unajitoaga ufahamu tu

selengetaisaya
Автор

SIMBA NI WAPUMBAVU KM WAKIMWACHA MGUNDA

anithawidambe
Автор

Bumbuli sio chura wala andunje wala kirikuu kama ali kamwe

alsaadyalsaady