MY MIND 🥰 | EP 01 |

preview_player
Показать описание
Hii ndio Akili yangu MY MIND 🙄
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimewahi sanaa, na walio kua wakisubiria huyu mwamba atoe kazi mpya like tukisonga

Barackjumah
Автор

Atakae like mungu mpe maisha malefu, , , , 🎉🎉🎉🎉🎉 very story

Boniphacehachili
Автор

Wanaomkubali Anusmile piga makofi wewee💥🥳🥳🥳🥳

Maskser-tech
Автор

Wow nimefulahi sana ulivyo ilusha my mind epsd 02 asante lafiki

Fah-pzof
Автор

Yaan uyu kaka ana movie kali story nzuri anaigiza vzr hila sasa anatukosea sana anachelewa kutoa cha pili atujuagi mwisho wa movie zake mfano love with blind boy tunaomba na hii usitufanyie hvy 🙏🙏🙏

SalhaAbrahmani
Автор

In south Africa niko number one yani kaka weye nakufatilia San yani unajua

PawulosGurmamo
Автор

Anu nakufata kutoka Congo 🇨🇩 naomba like zenu jamani ❤❤na leo uko mkali saana

DanndannosdanielDannos
Автор

Kali sana yoyote atakaesoma comment hii mwenyezi mungu ampe afya na amlinde say amen🙏🙏🙏

Melody_boytz
Автор

Wa kwanz jamani nampenda uyu kaka naomba lik zangu

lulededale
Автор

Wa kwanza hapa nipeni like zangu bonge la story ❤

MinoaTv
Автор

Haya na mimi nimekuwa wa mwisho naombeni like zangu

hudhaifajuma-fdxy
Автор

Jomon nimecheka kumuona mlinz kwahili movi nitajiri hhh😂kwalie miss vituko vyamlinzi agonge like apa😂

FatmaBaby-by
Автор

Adorable 🙏 actually I like Anu's movies, ,watching from Kenya 🇰🇪 one of anu smiles biggest fan, , , , nice job

HillaryOdhuara
Автор

Aaah Anu mbona WA tutesa hatujuh kiingereza au unatupa kaz ya kusoma ten Kiswahili aah lekebish ap Kwa lugha tafadharii😢😢

mariammachiya
Автор

Wakenya jameni wapi likes zangu 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

pozehlight
Автор

Nilikuwa nasubiri sana kz yako of coz nakukubali sana kz zr sn nimeipenda mno

SarahKimaka
Автор

We Joel wa plan B
We nouma
Umepiga kitu kizito
Chukua maua yakoooo 🎉❤❤❤

eliphasethobias
Автор

Kaka anu ach kuvuta sigal bwan aunog ila❤❤

KhadijaHassan-wo
Автор

Movie mzurii Tatizoo English nying na wengnee hatujuii bhn 😢😢😂😂

NajimaShabani
Автор

Sijachelewa sana naombeni like hata 5 tu.

HusnaIbrahimu