Basi furahini-Kahama adventist choir

preview_player
Показать описание
Endelea kubarikiwa kutoka kwaya hii.
simu:0757024095
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

first time Nasikiliza ni kajua jangwani kumbe Familia yangu kahama central barikiwa sana kwa song hio nawapata vizuri nikiwa mbeya 🇹🇿 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

KephaPaul-rb
Автор

HII MELODY NA MANENO YA CHORUS VINAGUSA MOYO WANGU!

sayunisdachoirnyashimbakad
Автор

Wasabato nyimbo zenu nzuri kweli duniani kote mungu azidi kuwabariki

Mkenyamzalendo
Автор

nimeguswa sana na wimbo huu. Wimbo uliimbwa kwa utulivu. *Mungu awabariki waimbaji wote na tena wazidi kufika mbali.*

rasto-rasto
Автор

Safi sana watu wa Kahama. Ninakumbuka choir hii nilipofika Kahama kutoka Shinyanga Chuoni pale Kolandoto.Akanileta kanisani rafiki yangu wa AICT ili nihubili nikiwa mgeni wake msabato kutoka Zambia 🇿🇲. Jamaa alikuwa kaka yangu na rafiki hada kwakunionyesha kanisa la wa sabato wa Adventista.l saw this choir singing.God bless you Kahama SDA.

mrmoyo
Автор

Huu wimbo unafaa uwe na views zaidi ya milioni moja

SurooTheDiscipl
Автор

Nimewapenda sana kwakweli mungu azidi kuwabariki sana kwa kazi njema mnayoifanya, yaani mnanibariki sana

estherkorigwa
Автор

watching from Kenya, it's long since I watched songs with no movements.This was perfectly done imenipa taswira ya bingu God bless you to continue touching and reaching to souls

vollenatieno
Автор

Jamani mnaimba vizuri siku hizi 😂😂😂😂 sio kama kipindi ile miaka yetu tulikuwa tuimba Pambano 😂😂😂 miss u guys ... soon nitakuja kuwapa hi hapo church...

Bravo Pambano kwaya

magitamataro
Автор

Napenda sana nyimbo zinazotia moyo katika safari ya uzima wa milele

bahatijuma
Автор

Mungu awatie nguvu, hekima na ujasiri mnapotangaza ujumbe wake kuputia uimbaji

johnlimo
Автор

Kweli wimbo huu una mvuto Kila msikilizaji. Mungu awa zidishie vipawa na vipawa walimu watunzi wimbo huu pamoja waimbaji wote.

NaftalNnko-gw
Автор

Nabarikiwa sana na nyimbo hii MUNGU awabariki katika utumishi

gibsonleonard
Автор

nakosa maneno mazuri yakuwapongeza ila munaimba vizur sana, bwana awatumie kwa kiwango cha juu.

johnmbitiyaza
Автор

Am really happy with the song it's amazing mmbarikiwe

simonchumba
Автор

Amen Amen Amen ❤❤❤❤ thanks so much you have really healed my soul and get blessed toooo

delphine-od
Автор

Thank you Kahama for this wonderful song. You've melted my heart with joy. Let's LORD'S name be elevated and glorified forever, AMEEN!

perisbosibori
Автор

I love the message and the vocals and instrumentals. Infact, this is the current situation of the church where exorcism is the message and not repentance and salvation. From Mwingi, Kenya with great love. Be blessed good people.

drmunyoki
Автор

Mungu hawape ekima ya uduma, na kwendeleza enjili

charlesBundi-pd
Автор

Nimebalikwa sana na nitaendelea kubaliw pia

mwitamanyandagala