Uradi Wa Sala Ya Dhuha / Faida Ya Sala Ya Dhuha Na Ubora Wake / Sheikh Hashimu Rusaganya

preview_player
Показать описание
Uradi Wa Sala Ya Dhuha / Faida Ya Sala Ya Dhuha Na Ubora Wake / Sheikh Hashimu Rusaganya

Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Uradi Wa Sala Ya Dhuha / Faida Ya Sala Ya Dhuha Na Ubora Wake / Sheikh Hashimu Rusaganya

usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana

Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇

Get MORE of DARSA TV:

Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
YouTube @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ya Allah naomba uniponye maumivu ya mwili yanayonisumbua

SharifaAmiri-fc
Автор

MASHALLAH MASHALLAH SHEIKH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH JADHAKA LLAH KHER INSHALLAH ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA INSHALLAH

nuruddin
Автор

Ee mwenyezi mungu naomba uniponeshe jicho, meno na hta maradhi mengine, unifanyie uwepesi wako

hadija
Автор

Rabbighfirlii arham wa anta arhamu raahimiin

KhadijaAlhajri
Автор

Asalam alaykum Mungu akupe umri mrefu uzidikutufundisha. Inshaall

omarially
Автор

Allah akuzidishie sheikh wang asante nimeelewa vizuri sana

HadiyaAlly
Автор

Allah swt akujalie kwa kila kheir
Amin...twajifunza mengi sheikh wetu

kausarbawla
Автор

Alhamndulillah Namuomba ALLAH Kupeneema zaidi Amiinà.

habibaramadhani-xved
Автор

Mashaallah shukrani sheikh Kwa mafundishoo mazuri inshaallah Allah atakulipa

Husna-sk
Автор

She mm siomsikizaji sana wa clip zak ila nakukubali unasura yailim nauchamung pia

SaidiYunusu-mp
Автор

Mashaallah shehe wetu mungu akupe umri mrefu

Hhalimakhamis-lvzn
Автор

Allah akupe umri mrefu wenye kheri shekh

BoraSalumu
Автор

Mashallah shekhe Mwenyezimungu akulipe kheri

ndalusanzekassim
Автор

Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️
BAARAK ALLAAHU FIIQ YAA SHEIKH ALLAAH AKULIPE KWA NIA YAKO YAA RABB

rahmamohammed
Автор

Asalaam aleykum warhmatullah wabarrakat naomba jmni niandikiwe nia ya kuswali sala ya dhuha naombeni

Sadfa
Автор

Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu shekh nauliza huo uradi utasema x ngapi hiyo Rabbi ghfirli waarhamu rahimin

ramlajeffah
Автор

Assalam alaykum, Huu uradi unasoma mara ngapi Sheikh

HadijaKazembe
Автор

Je sura gan n bora kuisoma wakat unsal

AminaMussa-og
Автор

Asalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh, uliwahi kusema kma uradi baada ya dhuha ni, Rabb ghfirlii watubu alaya innaka anta tawwabu RAHIIM, je zote zinafaa kutumia?

nayeemn