SAM WA UKWELI - KISIKI (Official Video)

preview_player
Показать описание
Published on March 29, 2017
This Song was written by Sam Wa Ukweli in Tanzania 2016 The beat was produced, mixed and got Mastered by Abbydady from Chaidas record Tanzania....The Video was shot in Tanzania by Director HOBO from Tanzania, on the 23th of Ferbuary 2017....
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa hii 2024 wapi likes za kumkumbuka Sam Kweli

leesibia
Автор

Awa ndo walikuwa wasanii wa ukweli kama bado unasikiliza 2024 goga like hapa R.n p sam

rhodanakamba
Автор

Wale bado wanapenda huu wimbo gonga like hapa 2024 ❤

joycenyalandu-vtqt
Автор

Anae sikiriza hi Ngoma 2024 gonga like 😢😢

DoreenMakotha-cghs
Автор

Tuko mwaka wa 2023 naniko hapa nikiskiza hii nyimbo tamuu .Rest In Peace Sam

aminatsofa
Автор

Nan anasikiliza nyimbo hii mwaka huu 2024

mustaphakijazi
Автор

Atakayesikiliza 2050 Ataelewa Huyu Mwamba Alikuwa Ni Hakuna Mfano Na Bahati Mbaya Katuachia Pengo Lisilozibika Daima #RIP SAM WA UKWELI 🥺

Mbeyaconscious
Автор

Nan anasikiliza 2023, kama yupo aje hapa🥰🥰😍😍😊😊😊😊

joycejohn
Автор

ambaye bado anaisikiliza mpaka leo 2024 like zenu

ousmanesaidy
Автор

Nani kasikiliza mwezi huu 4 mwaka 2024

iamcharlzpaul
Автор

Kama umemkumbuka samu wa ukwel 2020 achia like r.i.p

edwingwesso
Автор

2024 and this song still gives me goosebumps, Rip Sam wa ukweli.

eddarsenal
Автор

2023 still bado naupenda huu wimbo rest in peace brother

elbaricktv
Автор

WALE WA 2023..GONGA FIVE CHAPU WANANGU😥😥..R.I.P🇹🇷🇹🇷🇹🇷📚🖊

mzurzamzam
Автор

Nani bado anaskiza hii wimbo 2020 RIP Sam

raywizzyke
Автор

Rest easy bro Sam. Mwenyezi Mungu akurehemu In Shaa Allah

bekamwaba
Автор

*Kizuri hakidumu aisee*
*Ukisikiliza nyimbo za huyu MTU then uambiwe amekwisha kufariki inakuwa ngumu kuamini😢😢😭😭😭😭* Rest In Paradise SAM*

chrissjoel
Автор

Kwa kweli nyimbo za zamani zilikua na mashahili mazuri sana, asannte sam pumzika kwa Amani 🙏

sheryphamwenevalley
Автор

Kila siku nasikiliza huu mziki lyrics zinaujumbe mzuri zinaeleweka, beat zuri alinigusa sana. RIP

georginapembe
Автор

Kama bado unaipigaa hii ngoma huu mwaka 2023 reply my comment!!!say r i P Sam wa ukweli😢😢

BlaqJohweusi