Zuchu At Zanzibar's President Daughter’s Wedding Perfomance

preview_player
Показать описание
Get #Siji Now 👇🏼

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaani hii Kali Sana! Huyu Zuchu ako full charge! Penzi sio la kienyeji!

BarbaraPatience-qtcc
Автор

Hakuna kama zuchu simshibi huyu bint nampenda mpaka naumwa mungu akuzidishie habibty wewe ndio Queen East Afrika mpaka now ❤❤❤❤❤❤❤

qamaryasalim
Автор

Nipe ni like zangu jamn 🎉🎉Kama munamkubali zuchu

Officialshuryotz
Автор

Zuchu the Queen 👑 nakupenda sanaaaa❤❤❤❤

money_first
Автор

Wako wapi visokorokwinyo. Oneni msomi Sasa... lawyer turned celebrity...kudos zuu

EuniceOdegea
Автор

Zuchu uko so smart, kumbe ww kifaa, uko na shape sadi sana, n ur songs perfect ❤kp it up nko kenya

ChristineKesi-kr
Автор

Wambea icho kina Waumiza. Umependeza Na Umeperform Uzuri Ni Kawa- ida Yako. Maasha'Allah❤

rashidfatma
Автор

Maasha'Allah, Mungu akulinda, Umependeza saana, Unazidi Kufurahisha kila event❤🎉🎉🎉

rashidfatma
Автор

zuchu ukivaa ngu kama hizo unawaka hatari, wehujui tuuila umependeza sana

OwenNchembele
Автор

Watching from the UK 🇬🇧 .Much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤.Zuchu is a rare gem 💎

agbordorothy
Автор

Wale wenye kutoa mashallah mahala kama hapa... Allah anawangojz awaulize maswali... Kama kweli tunamjua na kumcha Yeye... Tunawapenda kwa ajili ya Allah

aishamohamed
Автор

Awesome! I wish u great things in your life Zuchu

veronicamccollin
Автор

Zuchu is a big artist in TZ and the entire EA community

davidlungu
Автор

Zuchu hujambo am wahida from Kenya. Una weza toa taarab song Moja utaweza sana please just try it

wahidandeleko
Автор

Un corps bien taillé et très bien sculpté par la gym, Ma QUEEN ZUCHU tu es magnifique, je t'adore et t'aime beaucoup ma DIVA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯👍🏽💋🇨🇬
Cette robe elle me tue à mort ❤

OlgaAmboulou
Автор

I just love this artist so much, she got everything perfect eg, the voice, the vibes, oh I can't forget her interviews are so good like I repeat them each and every day, her dress code, her reasoning capacity , name it all❤❤❤❤love you mama and continue doing more and more

yunusaminah
Автор

Zuchu full package, nakupenda sana❤❤❤

arafaally
Автор

I just love the humbleness and calmness in Zuchu ❤

wadadapeace
Автор

Wamama wame pendeza KWELI... Iko viji Baba vina KULA MZIGO poa 😊

tommillia
Автор

Zuchu wangu mashaa Allah always love you ❤❤❤❤❤❤

qamaryasalim