Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei afariki dunia baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole kwa wazazi na ndugu narafiki zake wadhati..pole sana Rebecca damu imsumbue huyo kaka hadi atubu kwa MUNGU na wazazi wako

EstarMichael
Автор

Maskini kafa. Rest in paradise Rebecca

aminatanzanya
Автор

Nilimfahamu ktk mashindano ya riadha ya Olympic last month jmn Leo kafa 😢

nadhifamustapha
Автор

Hili jambo lazima liangaliwe haiwezekani kilia kukicha mwanarida isije kuwa watu wanpewa pesa kuangamiza wanridha wa Africa

josephinamkono
Автор

So sad... she should be a legend.. R.I.P

jeremiahmsemwa
Автор

Ila wanaume tunaroho ngumu ivi kweli mwanamke alivyo komaa hiv anakuwa mpenz wako kweli ivi kwenye yale mambo unaanzaje kwa mfano na mwili ulivyo komaa hivo kwa mazoezi ila huyu jamaa aliopo ktk suruali za wanaume anashida sana maana akikushawishi tu basi siku hiyo wanawake kazi wanayo

JamesJastin-bgrx
Автор

Tujikite kwenye vyanzo kama aliona amnyanyase mmewe kisa ustar kapata haki yake stahiki mapenzi yanauma asikwambie mtu

alexmalyango