AHMED ALLY AWAJIBU YANGA KIPIGO CHA HOROYA / 'SIMBA NDIO BABALAO, CHAMA MMOJA NI WACHEZAJI WAO WOTE'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyo anaemfuta jasho Ahmed yupo superb 🔥🔥

kanalimwenga
Автор

Asant mungu leo Simba mmejua kutueshimisha hongera chama lang Simba baba lao nguv1

husnambogo
Автор

Aachiwe kabisa hiyo namba Tisa na Boko astafuu tu muda. wake umeisha.

edwardaugustino
Автор

Lkn simba hawendi mbinguni, wanataka kuifilisi hela y serikali

daudymanyika
Автор

HONGETA MTANI UNA WACHEZAJI WAZUR WAPE MUDA WATAFANYA VIZURI NDO FURAHA KWETU WANANCHI

robertmboya
Автор

Kiukwel leo tumeenjoy solute kwa wachezaji wet

happynessmathias
Автор

Kwa hiyo kibonde kawapa pa kusemea na huyo kipa wa Horoya ni mbovu?

OS-pfop
Автор

Hyo ndo mech ya mwisho ya ushind mpaka wanatolewa

thobiaskasian