#LIVE: KOCHA WA YANGA AFUNGUKA BAADA YA USHINDI 'TUTAENDELEA KUREKEBISHA MAKOSA YETU'

preview_player
Показать описание
#live
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pongezi sana Professor Nabi kwa kazi nzuri pamoja na Wachezaji wote wenye mapenzi mema ya kuitumikia Yanga.

josephkulija
Автор

Hongera sana Timu yetu ya Yang Africa. Hongera kwa kocha wetu pia kwa kuwa mwalimu mzur 💚💛💛💛💛💛

LadyveenOfficial
Автор

naipenda Sana Yanga sababu Ni timu ya watu wastaarabu.
Sio kama Simba ambao muda wote wao hukalia majungu tu.
Mara wanajiita ni timu KUBWA, mara wanajisifu kwmb wenyewe huwa wanacheza mpira wa kiume😅 lkn
Kama jana baada ya mechi walikuwa wanatapatapa sana...
ila sisi tulikuwa tunawalia timing tu...
Sasa wenyewe wameshuhudia leo pira biriani kutoka kwa Yanga!
Jana Simba walicheza pira Tembele

sarahkeivaly
Автор

Pongez kwa kocha wetu nabi, , kwa upangaji wa kikosi cha maangamiz leo

paulmakelemo
Автор

Kikosi cha leo NABI KAFANYA UPROFRESA MWINGI MNO 💚💛💚💛💚💛👏👏👏

mcprincemfumbi
Автор

Leo nimeona yanga ya msimu w kwanza ....bangala akicheza no six bora kabsaaa job na pachawake mwa mnyeto Aiseee ni kusahau znz fund mudathir yahyaa Abbas akitimiza n kuficha kbsaaa pengo z f Toto. Yanga motoh

chembejohn
join shbcf.ru