AFISA HABARI ANAYETAMBULIKA NI ALLY KAMWE NDANI YA YANGA/ MANARA ANATAFUTIWA CHAKUFANYA - ENG. HERSI

preview_player
ะŸะพะบะฐะทะฐั‚ัŒ ะพะฟะธัะฐะฝะธะต
๐‘ช๐’๐’‘๐’š๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’• ยฉ2024 ๐‘พ๐’‚๐’”๐’‚๐’‡๐’Š ๐‘ด๐’†๐’…๐’Š๐’‚. ๐‘จ๐’๐’ ๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’•๐’” ๐’“๐’†๐’”๐’†๐’“๐’—๐’†๐’….
#wasafi #wasafitv #wasafifm
ะ ะตะบะพะผะตะฝะดะฐั†ะธะธ ะฟะพ ั‚ะตะผะต
ะšะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ
ะะฒั‚ะพั€

I Salute you Mr Heris, ( The Chairman for Young Africans ) YANGA, Well said, Hiyo ndiyo Misimamo ya Kiongozi. Big Up ๐Ÿ’ช

elizabethkalinga
ะะฒั‚ะพั€

Msemaji wetu pendwa Ali shaban kamwe tunae natunatamba nae

SarhaSaid
ะะฒั‚ะพั€

Eng Hersi kapima utendaji wa Manara na Ally Kamwe kaona Dogo anafaa sana. Sio Mropokaji, anajieshimu, na speech zake zimenyooka; yani zinampangilio unaoeleweka, pia hana uchangudoa kama Haji Manara. Ally kamwe yuko vizuri.

Amiriallyameir
ะะฒั‚ะพั€

Rais tunaye na tunatamba nayeโค
kamwe pia tunaye na tunatamba naye.BIG UP Eng.Hersiโคโคโค

issiryAlly
ะะฒั‚ะพั€

Nakupongeza sana Rais wetu wa yanga.
Manara alikosea sana, alijirudisha kazini bila kutoa taarifa rasmi kwenye uongozi.
Aliifanya yanga kama ya watu wahuni.
Hata yanga day haikuwa na mvuto kwa vile alionekana kama wote tuna shabikia mambo ya ajabu.
Apumzike

jovinusmutabuzi
ะะฒั‚ะพั€

imeendaaร ร aโคRais kasemaโคโคAlly shaban Kamweโคโคโคโคkuna mwenye nyonqeza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

righitkileo
ะะฒั‚ะพั€

Kila mtu mzuri ila Ally Shaban Kamwe ni the best to me

EzekiaMichael-jnnp
ะะฒั‚ะพั€

Nimefurahi sana kusikia ALLY SHABAN KAMWE tunayee yule mzee wetu mzungu apangiwe tu majukumu mengine yanga yetu ni dude so nafasi za kazi zipo nyingi sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Marjeby
ะะฒั‚ะพั€

Hakuna anayehukumiwa kwa mtazamo wake au mapenzi yake, dogo yuko vizuri upstairs ktk kuplan speech

Mjita
ะะฒั‚ะพั€

Aende azam tu sisi tuna mtambua Ally kamwe

dizzomontana
ะะฒั‚ะพั€

Oscar maswali yko yakishoga ila umepat mtu makin sna

mulladomuller
ะะฒั‚ะพั€

Safi sana"manara misifa hatumtaki

AbubakariKisuju
ะะฒั‚ะพั€

Nimependa san kubaki kwa semaji la kimaifa. Ally kamwe

KkhamisKha
ะะฒั‚ะพั€

Kulingana na kauli ya mwenye Yanga yake, Haji Manara kwa sasa ni kama Mzee Mpili.

piuskusenge-jfob
ะะฒั‚ะพั€

Sasa siku ya kutambulisha wachezaji Haji Manara Alienda fanya nn?

murattywamuratty
ะะฒั‚ะพั€

Rais MAKINI.... swali limejibiwa ki-rahisi saana Oscar ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

KS-iwqv
ะะฒั‚ะพั€

Ni razima kuwa na M2 mwenye fikira kama huyu

MichaelWankuru
ะะฒั‚ะพั€

Tunaweza kuona interview yote national vipande vipande

seifnrashid
ะะฒั‚ะพั€

Sasa haji alale tu asiropokeropoke Hana kazi maalum pale๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

romanambelle
ะะฒั‚ะพั€

Manara adabu hana, wala heshima hana kwa watu, anaropokwa tu kwa kila mtu, Ali Kamwe anafaa, anajilewa, na ana limit ya kuongea kwa kila kitu, ana heshima, na kwasasa ka fit kuwa msemaji wa Yanga 100%

johariabdalla