VITUKO VYA STEVE MWEUSI NA MTUKUFU (NAONDOKA)

preview_player
Показать описание
Steve mweusi akitishia kuondoka kijijini tazama hii mpaka mwisho utacheka #mtukufustevemweusi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanao_mkubali Steve na mtukufu like zenu guys from Kenya🇰🇪🇹🇿

novils_
Автор

Wooow Steve your are good entertainer I can't understand kiswahili but I love your acting bro and I am your fan from Turkey

ceegaagyare
Автор

Safi sanaa kwa kazi nzur hii inatupa furaha inatuondolea stress

bashrug
Автор

Nakubali sana Steve kazi yako bro from 254

mekeyamusa
Автор

Napenda kazi yako Steve. Beautiful talent

DoublevisionTVKE
Автор

Stivu Mungu azidi kukutunza kazi yako naikubali Sana Mungu azidi kulinda kipaji chako

isayapetro
Автор

Kazi baba!!
Sauti yako ndo inanipa furaha from Congo 🇨🇩

sergengongote
Автор

Nakubar san kazi zako kaka mungu akuwezeshe zaid

azizilai
Автор

Steve u always make my day penda u sana keep it up 😃😃

sharonwamaitha
Автор

tupo apa ndani nice one ...steve bana unaniuanga😅😅😅😅😅😅

Xpyshots
Автор

You always make my days bro.
Nakukubali mno

yohaneshamisy
Автор

Nimekuwa wakwanza like zangu munipatie

nasibuwinmathias
Автор

Am proud to be Tanzanian Due to Steve mweusi Kama mkaa, comedy zake.

ngusacharles
Автор

😀😀😀😀😀😀😀😀mko sawa aje yani oooh like it kaka 👌👌👌👌

kevinsitati
Автор

Napenda Sana aina ya uigizaji wa Steve ananifurahsha Sana😂😂😂. Mungu azid kukuinua

mathiemagata
Автор

Stive i wish tungepanga tukutane tu akh.. You always make my day

sampizohtv
Автор

Xx unapanga nguo za nn na unaenda kukufa my best comedy ever

chaelbett
Автор

talented, creative.
God bless you & your participant.

officialchidahe
Автор

Nikiwa stressed comedy zako huwa zinanifurahisha Steve😂😂😂😂😂😂😂😂

ndumilakahayi
Автор

Wew jamaa
KABILA GAN MBONA
UNA ASILA SANA UNA ASILA
SANA MZEE YAN DUH SIJUI
MTU WAWAP wew unaasila sana

TALLUBOY
join shbcf.ru