DADA ALIYE - TREND KUTAJIRISHWA NA FREEMASON, POLISI WAFUNGUKA - 'HANA KOSA'

preview_player
Показать описание
DADA ALIYE - TREND KUTAJIRISHWA NA FREEMASON, POLISI WAFUNGUKA - "HANA KOSA"

MWANAMKE aliyedai kutajirishwa na Freemason amefikwa na mazito ambayo hatoyasahau maishani mwake.

Mwanamke huyo ambaye wiki iliyopita alijitambulisha kwa jina la Glory alidakwa baada ya video kusambaa mitandaoni akijinadi kutajirishwa na Freemason.

HABARI MPYA DAILY:

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:

GLOBAL RADIO TV:

EXCLUSIVE INTERVIEW:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ushindwe kwa jina la yesu, anaye gawa mali ni Mungu pekee

jimsonndingwi
Автор

Yaani Kama umeona hata kuendesha gari hawezi gonga like

alexmbembela
Автор

amekoma sana hata angekufa yani huyu dada allah muokowe kwenye haya maisha anaejivunia

hanifamasudi
Автор

Tufanye tu Kazi, na tutunze kwa kile tunachokipata tukithamini tu Ndugu zangu, Pole ipo siku mambo yatakaa sawa tu fanya Kazi.

gideonkalumbu
Автор

Jamn huyu dada namfaham mpk alipozaliwa kwao ni mkoa wa manyar sehem inaitwa gallapo shule moja nimesoma nae kwahiyo alikuja dar kutafut maisha ndio hivo kajiingiza kwenye utapeli.. hajasom hata chuo ameishia kidato cha 4.. maish ni magumu

shameemrashid
Автор

Asante mwenye nyumba kwa kufichua hilo

NeemaKmussa
Автор

Mmh!kazi kwelikweli!!watu kujishughulisha hatupendi na hatutaki, tunapenda njia za mkatomkato, ...kweli mjini shule!

ellysilwani
Автор

So kweli no muongo namba niliipiga waliikata jmn muwe waangalifu la sivyo tutaibiwa sana

priscamasanga
Автор

Jamaninhuyu dada wa police na dada wa tangazo ni watu wawili tofauti chunguzeni vizuri mtaelewa.

caslidajosephat
Автор

Mungu msaidie huyu dada atoke waeendelee kupima keki tyu

kirupyseleman
Автор

Daaah hizi njaa ase mungu utunusuru tu

deonicemollel
Автор

Mimi nilisema kwenye vidio mimi nikasema huyu dada kafanikiwaje watu oooh mwache kashaamua kuwa hivyo. kuna muda tunaonekana kumbe tunakomenti vibaya lakini mkiambiwa asahivi utapeli mwingi mnajifanya mnaziba masikio

NeemaKmussa
Автор

Nyinyi watanzania munauopenda sana Freemasonry sawa iko siku

tumamapishi
Автор

😁😁😁nacheka utafikiri mazuri, Kweli msameheni tu, njaa mbaya

claudiajames
Автор

Wewe dada ushindwe Kwa jina la yesu huna mamlaka

sophialemmpalasu
Автор

Tamaa mbaya mwenyezi mungu atawahaibisha

niyonzimaraissa
Автор

Wamsamehe tyuu jaa jaman ila asiludie tena make siojambo zur kabisa

charleskhamis
Автор

Mlitaka kuwakamata wenye tamaa ya utajiri kumbe we ndo una tamaa namba moja, umedanganyika kwa elfu 30 looh! Pole yako

naimasaid
Автор

C mnipe nom yao moja anisadie kijiunga nao

geoffreyodero
Автор

Uyo achapwe bakora 300 za makalio na mdomon mwake

jamilaathumani
welcome to shbcf.ru