TANZIA: KAKA wa ZACHARIA HANS POPPE, 'EDDY HANS POPPE' AFARIKI DUNIA...

preview_player
Показать описание
TANZIA: KAKA wa ZACHARIA HANS POPPE, 'EDDY HANS POPPE' AFARIKI DUNIA..

Kaka wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

KUMRADHI;
Awali video hii ilipandishwa ikimtaja Eddy kama ni mdogo wa Zacharia Hans Poppe lakini usahihi ni kwamba, Eddy ni kaka wa marehemu Hans Poppe. Tunaomba radhi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Hans Poppe kwa usumbufu huo uliojitokeza.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siyo mdogo huyo ni Kakayake Na Marehemu Zachariah Hans Poppe

mandiketv
Автор

Poleni ndugu wafiwa covid is real chukueni tahadhari munapo kwenda msibani sanitize na muvae mask mambo ya kukumbatiana kupeana mikono acheni

bigbossmanbossman
Автор

Kwa kweli tuache mashara covid ni hatari

fantamohamedi
Автор

Duuuu polen San wanafamily amemfuat Kaka yake jmn

minakhamiskhamisi
Автор

Kibaya madhara ya chanjo hawasemi, yaan uchanje na bado uumwe tu

madamloveness
Автор

Poleni sana wapendwa, Covid ni mbaya sana. Kwa maisha ya Watanzania kuchukua tahadhari kila wakati imeshakuwa ni changamoto. SULUHISHO PEKEE NI CHANJO. JAMANI WATANZANIA CHANJO NI MKOMBOZI. TUACHE KUKAIDII. KOVID NI MBAYAAA. KULE UCHAGANI KUNA FAMILIA IMEPOTEZA WATU 6 NDANI YA SIKU 10

Jammie
Автор

Unavyosema chanjo ni muhimu kwani ukichoma haufi? Acha upumbavu ushaambiwa hata ukichoma utapata hyo korona usilazimishe hyo chanjo mbona mtu akichanjwa akifa hawasemi korona shida sana

emanuelkenethkanyela